Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Tafiti zilizofanywa na wanasayansi na wadadisi wa biological and human relationships. Inaonesha kuwa kwa wanaume inakuchukua siku 88 kumpenda mwanamke

Wakati kwa wanawake inachukua siku 134 kumpenda mwanaume. Tafiti zimeonesha kuwa inawezekana pia Ku fall in love kwa muda mfupi zaidi ya uliotajwa

Mwanasayansi Arun Arthur aliwahi kuwakutanisha watu wawili wasiojuana na wakapendana ndani ya dakika 94 katika maabara yake

Kwa hapa bongo je napo ni hivyo. Au tuko tofauti?[emoji6]

Wataki huo huo inaonekana kuwa mtu anachukua dakika 4 tu kuzama penzi(kumpenda MTU) wanapo onana siku ya kwanza
 
Back
Top Bottom