Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Mbona hawakuwi siku zote hizi? Wishful thinking.
 
huyu ndo sniper close friend wa DAB

 

mcheki hapa sniper akiwa na the same tshet n 'kapero'

 
Sio huyo aliyemtolea Nape bastola


Nina uhakika 100%

Uzushi
 
Kitengo ndani ya Kitengo.

Sasa naanza kuamini maneno ya Chahali kuwa kuna Kitengo ndani ya Kitengo.

Kitengo Kimoja kina mamlaka makubwa kuliko kile Kitengo tulichokizoea cha Dstv.

Kwa mtindo huu the so called Kikosi Maalum a.k.a Watu wasiojulikana watatutesa mno.
 
Wewe endelea kujitoa ufahamu kisa unapewa buku 7 hapo ofisini kwenu.

Shwain....
Huyo sio aliyemtolea Nape bastola ,

Nape mwenyewe shahidi atoke hadharani

Acheni kumzushia sio huyo.

.100%
 
Magufuli ameshasema akina Mbowe wafungwe au wamalizwe kabla ya TAREHE 26/04/2018. Ila MAGUFULI nae asubiri kiama chake hiyo tarehe aliyowawekea wenzake. Yeye siyo mungu unaweza kushangaa kibetri kinazima ghafla kabla ya tarehe aliyopanga
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…