Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hata kule Nairobi kwa Lissu mlimuona pia!!
mna DE JAVUU??
jinga wewe! ndo mana hata raisi akizindua vitu tulivyo jenga kwa pesa za kodi zetu unashangilia kama kafanya bivyo kwa hisani yake. deni la taifa linaongezeka kila mwaka mnataka taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa.kuwazushia watu kesi .kisha u akuja kukata mauno kwa kushangilia huku kwenye mitandao?.jinga wwe. ati mhitimu wa UDSM! wanakuaga na reasoning ndogo kama yako.wewe.
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
filamu zina mwisho wake,mwisho wa uongo ni aibum,mwisho wa dhambi ni mauti
 
Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!


Wameponzwa na midomo yao, wamesema hadharani wakasikika. Leo nani apewe lawama?
 
ID yake halisi kashaitelekeza, nasikia yupo humu kwa ID fake na huwa anachangia nyuzi kama kawaida tena mara nyingine anatoa vitisho
Yaaani mkuu huyu jamaa sijui elimu yake kaipataje, hata kauli anazotoa za kindezi balaah, jamaa ni shamba kinoma anajiona yy ndio kila kitu
 
Asa hyo muft cyo tetesi, mtu c unamuona hyo! Mwigulu ajiuzuru kwa judanganya umma
 
Kuna clip nineona wanaongea na mbowe tena anacheka hatari, jino mpaka la 33 linaonekana
 
huyu ndo sniper close friend wa DAB

View attachment 727036
Basi kama si askari wa kawaida au usalama wa taifa ni kizazi kipya cha mtu anaefanya kazi ya uaskari kwa niaba ya serikali na kwa malipo maalumu,yaani ni mkandarasi (Contractor).
Makandarasi hawa walivuma sana hasa wakati wa vita vya Iraqi,walifanya kazi hizo za ulinzi na ujasusi mauwaji kwa niaba ya serikali ya Marekani.
Basi kwetu nako labda ndio wamepiga hodi ,ila nina mashaka ya neno wasiojulikana kwa maana hawapo kwenye kumbukumbu ya askari wa serikali.
 
Back
Top Bottom