Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

tayar keshafutwa uanachama..... up next huenda sasa hio kesi ikaiva akianza ubishi!


awamu hii haina tofauti na drug cartel za huko colombia
Ushauri kwa Membe atulie tu, hawezi kushindana na Raisi wa nchi za Ujamaa.
 
HIVI YULE ALIYEUZA NYUMBA ZA SERIKALI KWA BEI YA ANDAZI ANACHUKULIWA HATUA GANI?
 
Membe aachane na siasa, kwa mizania ya kisiasa ktk nchi hii ilivyo hawezi kuupata urais na invyoonekana hana tena future ktk siasa.

Magufuli ameona amtoe kafara kwani hakuna kitu Magufuli anaogopa kama ushindani, yani nafuu umpeleke The Hague kule ICC kuliko kumuwekea mpinzani ktk uchaguzi.
HIVI NI KWA NINI HUOGOPA SANA KUINGIA KATIKA USHINDANI WA SANDUKU LA KURA?
 
Back
Top Bottom