Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Kama kahujumu uchumi asikamatwe kisa ni Membe? Acheni utoto kama ana makosa akamatwe tu
 
Na huyo aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo kwa 8 bilioni sheria haistahili kuchukua mkondo wake!? 😳

Mkuu hawa hawa wanaomsujudu leo ndio watakuwa wakwanza kumsulubu atakapotoka madarakani. Usicheze na unafiki wa wanadamu, hasa wanapochumia matumbo yao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamaa mwoga balaa!

Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
Duh!!

Una uhakika na mleta uzi sio matango pori? Maana ulivyochangia kama mleta uzi kaja na source ya uhakika.
 
Haya yote ni kwa sababu hatuna upinzani ulio serious.I wish Katiba yetu ingeruhusu mgombea huru.
Serious in what sense.Political atmosphere yenyewe siyo friendly. At the Parliament you how they have been oppressed. What else do you want them do, before acknowledging them as serious. Tatizo mnakuwa driven kwa feelings and emotions na hamko well informed with what is happening around
 
Membe aondoe woga,weka jina 2020,unachukua nchi wana ccm karibu wote ukiondoa wale wanaogawiwa tonge wote wamechanganyikiwa wanahitaji mtu mpya
 
Kama anafanya kazi nzuri na anadhani anakubalika sasa wasiwasi wa nini si atateuliwa tena kugombea?
Aache demokrasia ndani ya chama ifanye kazi yake!
Kulingana na sheria mpya mgombea yoyote wa chama cha siasa lazima awe ametimiza miaka mi2 ndani ya chama. Hili MEMBE analijua kwajiyo msipige miluzi mingi mtampoteza wacha akomae hapohapo ili ang'oe Jiwe mapemaaa alfajir.
Halafu mtambue pia siku ya mchujo Jiwe atakuwa mwepesiiii na hatakuwa ndani ya kikaango. watakuwa nje yeye na mgombea mwenzie MEMBE wakisubiri kamati maalum itakayoongozwa na JAKAYA. 😃😃😃😃👍
Hapo tegemea maumivu tena MAKALI MNOO kwa mtu fulani😂😂😂
Cc: Kasegela
 
Na huyo aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo kwa 8 bilioni sheria haistahili kuchukua mkondo wake!? 😳
[/QUOTE
Na huyo aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo kwa 8 bilioni sheria haistahili kuchukua mkondo wake!? 😳

Alieleta hiki kivuko nae ashtakiwe😂😎😂😤😤😤

3-jpg.1174436
 
hizo tuhuma ambazo pia zinahusiana na pesa toka serikali ya Libya zilikuwepo muda mrefu kwa hiyo kama atafunguliwa mashitaka ni wakati mzuri kujisafisha
 
Niguse ninuke
Hii kauli inahusiana na wale wajeda waliotoroka na vifaru 9, BM -21 na dhana zingine then kujichimbia porini ?
Nchi gani imetokea hiyo vifatu 9 vya kazi gani sasa .
 
Back
Top Bottom