Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

.
IMG-20190807-WA0036.jpeg
 
Jamaa mwoga balaa!

Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
Kuleta vivuko feki mv bagamoyo kesi ya samaki uuzaji wa nyumba za serikali utapeli kwenye koroshow zetu n.k ndio anfanya vyema?.. nimesahau kupiga pesa za rambirambi za maafa ya kagera.. mengine jazia afu endelea kumsifia
Screenshot_2019-07-26_234253.jpg
 
Vipi baadhi ya barabara za chini ya Kiwango alizosimamia kipindi cha JK?. Itabidi ichunguzwe kama kuna 10%

Vipi kuhusu Kukurupuka na kukamata meli ya Samaki na kutufanya tulipe mabilioni ya hela?

Vipi kuhusu kandarasi alizokuwa akizivunja kinyume cha mikataba?, Kasababisha tulipe hela ndefu za damages kutokana na kushindwa kesi.

Huo sasa ndiyo uhujumu uchumi namba moja
 
Sisi kama uuvsisiemu hapa dar tunaenda na membe
 
Back
Top Bottom