Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

😂😂😂😂😂😂😂 sielewi kabisa kilichompindua huyu mrembo hadi aanze kuandika haya. Ni mmoja wa wadada wachache wanaoingia kwenye jukwaa la siasa kwa kujiamini na uwezo wa kujenga hoja nzito anao sana tu. Ghafla bin VU wamempindua!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ogopa sana mlokole akianza kunywa pombe ni aibu.!
 
Kama kweli vile... Lowasa alikwenda cdm kwa mipango tu, so picha ndio hilo hilo
Membe atagombea Urais wa TZ kupitia ACT-Wazalendo.

Hii ni mbinu ya kuzigawa kura kutoka kambi ya upinzani.

Makosa yaliyofanyika kwa Lowassa hayawezi kufanyika tena ambapo kunakuwa mgombea mmoja pekee mwenye nguvu kutoka upinzani.

Wakati CDM wameamua Lissu awe mgombea wao, CCM lazima wazigawe kura zake.

Watu wanacheza ngoma za CCM bila kujua!

Siasa ni sayansi na sio uanaharakati na ushabiki!
 
Jamaa mwoga balaa!

Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
Kwamba wakati wengine wanahangaika usiku na mchana kutangaza kazi kubwa ya maend.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sielewi kabisa kilichompindua huyu mrembo hadi aanze kuandika haya. Ni mmoja wa wadada wachache wanaoingia kwenye jukwaa la siasa kwa kujiamini na uwezo wa kujenga hoja nzito anao sana tu. Ghafla bin VU wamempindua!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hizo ndio siasa za nchi yetu, wanasiasa wetu ni vigeugeu wanajali maslahi yao tu.

Huyo kama ni mtumishi wa serikali huenda alijichanganya Id yake ikagundulika na wenzie... hisia tu lakini.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 haya pita lumumba kesho mapema ukachukue buku 7 zako kwa kuniambia mie sina jipya bali weye ndiyo mwenye jipya la kutumika na nduli kutetea maovu yake.

Duh, utawala bora?
Kungekuwepo na utawala bora manunuzi ya Bombadier pesa zingeidhinishwa na bunge kwanza
Na tusingejitoa kwenye mkataba wa Open Governance (Serikali ya Uwazi)
 
Kama kweli vile... Lowasa alikwenda cdm kwa mipango tu, so picha ndio hilo hilo
Hakuna mpango wowote, Lowassa alienda CHADEMA kupata nafasi ya kugombea urais baada ya kuikosa huko CCM.
 
😂😂😂😂😂😂😂 sielewi kabisa kilichompindua huyu mrembo hadi aanze kuandika haya. Ni mmoja wa wadada wachache wanaoingia kwenye jukwaa la siasa kwa kujiamini na uwezo wa kujenga hoja nzito anao sana tu. Ghafla bin VU wamempindua!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa na wewe unataka Membe awe Rais? Si bora hata Magufuli mara elfu. Kusema ukweli kusikia Membe anataka kuwa Rais kumenibadilisha mno.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu hizo ndio siasa za nchi yetu, wanasiasa wetu ni vigeugeu wanajali maslahi yao tu.

Huyo kama ni mtumishi wa serikali huenda alijichanganya Id yake ikagundulika na wenzie... hisia tu lakini.
Wala hakuna. Na wewe mkuu unakubaliana Membe awe Rais wa nchi hii?
 
Wakati wake na yeye utafika tu,ununuzi wa srepa alioiita meli,kugawana nyumba za uma
La meli,nyumba. 2015.walimchagua hizo scandales zilikuwepo. Suala la Nyumba Sumaye alisema lilikuwa wazo la Sumaye na Mkapa.
 
Na kuyaona maovu ya Membe lakini kuyafumbia macho maovu ya bugirichato kisa ni homeboy wako!? 🙉🙉🙉🙉

Kweli kabisa na wewe unataka Membe awe Rais? Si bora hata Magufuli mara elfu. Kusema ukweli kusikia Membe anataka kuwa Rais kumenibadilisha mno.
 
La meli,nyumba. 2015.walimchagua hizo scandales zilikuwepo. Suala la Nyumba Sumaye alisema lilikuwa wazo la Sumaye na Mkapa.
Ni kama wanachotaka kukifanya sasa,ndicho kotakacho kuja kufanyika siku za usoni
 
Habari wakuu,

Anaandika kada wa CCM, Bolleni Ngeti

Uoga ukikuzidi unaweza kujikuta unajikimbia. Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (Money Laundering), Bernard Membe kuhusu kesi mfu ya MEIS ya kiwanda cha saruji mkoani Lindi umeiva.

Habari nilizozipata ni kwamba hiyo ndiyo silaha ya mwisho kumzuia Membe asigombee Urais kupitia CCM. Wadadisi wa mambo wananiambia uamuzi huu unaweza kumaanisha usemi wa Niguse Ninuke.

Kwa membe atachemka ,labla anemshitaki mbowe au mchungaji msigwa au halima mdee au sugu au hashimu rungwe au zito
 
Back
Top Bottom