Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Mtoto wao mwenyewe alitajwa na Makonda kwny list ya wauza madawa ya kulevya kwani ulimsikia JK akiongea chochote,kimyaaaaaa.
Baada ya uke ukimya hatujaskia wakimpetea mazoea yoyite, possible behind the scene walimnyosha
 
Habari wakuu,

Anaandika kada wa CCM, Bolleni Ngeti

Uoga ukikuzidi unaweza kujikuta unajikimbia. Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (Money Laundering), Bernard Membe kuhusu kesi mfu ya MEIS ya kiwanda cha saruji mkoani Lindi umeiva.

Habari nilizozipata ni kwamba hiyo ndiyo silaha ya mwisho kumzuia Membe asigombee Urais kupitia CCM. Wadadisi wa mambo wananiambia uamuzi huu unaweza kumaanisha usemi wa Niguse Ninuke.

Nimewai sikia mtu alishinda uchaguzi akiwa gerezani/mahabusu, nae agombee tu, atashinda akiwa huko huko, kura yangu anayo, kuepusha manung'uniko.
 
Hakuna anayemuogopa Membe, kama kweli wanajiandaa kumfungulia kesi basi angalau mahakama itasaidia kumuondoa kwenye hizi tetesi na kuwa huru iwapo ni msafi, kama ni kweli alikwapua basi jela ni yetu sote!
Tuone basi na ya MV Bandari salama, nyumba za serikali na ma road chini ya kiwango
 
Akishinda kesi sasa atakuwa huru. Hatasemwa tena. He will be a free man. Kila kitu na wakati wake.
 
Ilitokea wapi hiyo na lini .... mkuu hebu funguka kidogo
Niguse ninuke
Hii kauli inahusiana na wale wajeda waliotoroka na vifaru 9, BM -21 na dhana zingine then kujichimbia porini ?
 
Hakuna democracy hapo amezungukwa na majambazi na majizi na vibaka .. hatapata democracy hapo ni mpaka kieleweke 2015
 
Jamaa mwoga balaa!

Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
Muinuliwa
IMG_20190805_161322_470.jpeg
tapatalk_jpeg_1564584097590.jpeg
 
Those guys are many and they can successfully get him out..if we follow the democracy way ...it won't work coz chama chenyewe kime jaaa majambazi so hr have to fight against them all the time napia na ili aweze kushinda inabidi awe makini sana na vibaraka Wa hao wary na Ndio maana tuna ona there's so much unrest people working so tirelessly to destroy his image and his influence and integrity..they are tweeting every day..post on Instagram and Facebook..waandishi kibao wana ..taka kuandika kuhusu yeye .na sio kazi zake ? Tujiulize kwanini
 
Ufikie uzee mara ngapi? Mada ni Membe kweli, ila nimekuambia kwa uzee wako sio wa kushabikia dhuluma.
Yaani hunaga kingine cha kuongea zaidi ya kuniambia uzee. Nilishakuambia mimi mzee.Kila siku ukiniquote ni uzee uzee. Jamani wewe. This is last time nakureply kuhusu uzee unless uandike vitu vingine. Stress mbaya. Upo wapi tukapate bia mbili tatu Tabata?
 
Sheria za nchi alitungiwa Membe tu na wengine watenda maovu ni UNTOUCHABLES!?
😳
Haihusiani? Ni wangapi wanaface sharia kukiwa na ushahidi? Una ushahidi peleka kwa DPP kesi itafunguliwa. Two wrongs dont make a right.
 
Back
Top Bottom