Ushauri kwa Membe atulie tu, hawezi kushindana na Raisi wa nchi za Ujamaa.tayar keshafutwa uanachama..... up next huenda sasa hio kesi ikaiva akianza ubishi!
awamu hii haina tofauti na drug cartel za huko colombia
HIVI NI KWA NINI HUOGOPA SANA KUINGIA KATIKA USHINDANI WA SANDUKU LA KURA?Membe aachane na siasa, kwa mizania ya kisiasa ktk nchi hii ilivyo hawezi kuupata urais na invyoonekana hana tena future ktk siasa.
Magufuli ameona amtoe kafara kwani hakuna kitu Magufuli anaogopa kama ushindani, yani nafuu umpeleke The Hague kule ICC kuliko kumuwekea mpinzani ktk uchaguzi.
Ni kipi anafanya vyema mkuu, kuwapa case ya uhujumu uchumi wanaomkosoa? Au kuwapiga watu marisasiJamaa mwoga balaa!
Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
HIVI NI KWA NINI HUOGOPA SANA KUINGIA KATIKA USHINDANI WA SANDUKU LA KURA?
Anahisi watu hawamuungi mkono kama inavyovumishwa.HIVI NI KWA NINI HUOGOPA SANA KUINGIA KATIKA USHINDANI WA SANDUKU LA KURA?