Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

FAKE NEWS

Mlianza na..


UBUNTU BOTHO (Masadakolo)

MARA MAYELE NA AZAM interview

MARA KUFUNGIWA NA FIFA kusajili

MARA HILI LA MISHAHARA FAKE

Yote hayo Yanga tupo kimya

Propaganda zote hizo hatutoki relini na mkikaa vibaya tatehe 20 ni maafa
 
Baada ya Kikao cha MO na uongozi, hii ndiyo mikakati mliyokuja nayo kuelekea Derby? Yaani ninyi ndiyo ‘Sinking Tank’?
 

Kama kuna kaukweli fulani kwenye hii mikeka
 
Kwa mzize ni sawa tu,,
Kama alikuwa boda boda akaja NYUMA MWIKO FC kumpa pesa nyingi atazifanyia nn?
 
Mmeamua kutengeneza propaganda za kuvuruga wachezaji wa Yanga na mashabiki wa Yanga.
Hio mishahara haina uhalisia, ingekuwa hivyo Diara asingedumu Yanga misimu yote hiyo huku akilipwa milioni 4 tu.
 
Ukishakua foreigner tu mshahara wako unakua juu,hta makampun yakiajir wa south au wahind wanalipwa hela mingi sana... Ukitaka salary kubwa nenda nje ya nchi ila uwe na professional yko
 
Mmeamua kutengeneza propaganda za kuvuruga wachezaji wa Yanga na mashabiki wa Yanga.
Hio mishahara haina uhalisia, ingekuwa hivyo Diara asingedumu Yanga misimu yote hiyo huku akilipwa milioni 4 tu.
Kwani mshahara halisi kwa Mzize na Diarra ni upi mkuu, Maana kama umepingana na mtoa mada basi wewe unalo jibu kamili.

Hebu funguka.
 
Ukitaka salary kubwa nenda nje ya nchi ila uwe na professional yko
Sasa kwa mfano Mzize ni mchezaji mzuri kuliko Aziz ki, ni professional kabisa kuliko Aziz ki.

Kiuhalisia Mzize alipaswa kulipwa salary mara mbili zaidi ya Aziz ki. Mzize peke yake ni sawa na kina Aziz watatu Ila anapunwa salary.
 
Nimelia sana Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…