Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Utetezi wa hovyo sana. Kwa mchezaji kama mzize mwenye mchango mkubwa klabu inayojielewa ingekaa nae haraka kuboresha masilahi hata kama hapo kabla alikubali kiduchu.

Hapo akitaka kuondoka atawekewa mizengwe ya kiswhahili swahili. Sema wachezaji wa kibongo nao wamekaa kizembe zembe hata kutengeneza tetesi bandia za kuhamia simba kuwa mrithi wa john bocco hamna. Wanakaa kama washabiki wa timu, bado wako enzi za Ngasa
 
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k

Sa anaishije hapa Dar au anapiga Ndondo?
 
Wanalipwa vizur sana ukilinganisha na Yanga, ila kwenye mchezo ni kinyume chake.
 
Huo ni uongo mbona hajapost hio chart ya mishahara
 
Ya Mayele yameisha kifo kibudu saivi imetengenezwa trending story kuhusu mishahara. Tanzania haishi vituko, uzuri uongozi wa Yanga na wachezaji huwa hawatolewi kijinga kwenye mipango yao. Hata mimi naweza kutengeneza chart kama hiyo na kuaminisha watu kuwa ni mishahara ya wachezaji.
 
Ndo maana uwezo wa mashabiki wa simba kufikiri ni mdogo sana
Viongozi wao wamewekeza kwenye propaganda za hali ya juu sana
 
Kwani mshahara halisi kwa Mzize na Diarra ni upi mkuu, Maana kama umepingana na mtoa mada basi wewe unalo jibu kamili.

Hebu funguka.
Mshahara halisi anaujua mwenyewe Mzize na Diara. Kwani wewe hauna uwezo wa kukaa na kutengeneza chart kama hivyo? Au hapo kuna uthibitisho upi unaonesha kuwa Yanga wanalipa hiko kiasi cha pesa kwa wachezaji?
 
Mshahara halisi anaujua mwenyewe Mzize na Diara. Kwani wewe hauna uwezo wa kukaa na kutengeneza chart kama hivyo? Au hapo kuna uthibitisho upi unaonesha kuwa Yanga wanalipa hiko kiasi cha pesa kwa wachezaji?
Kwa hizi nyuzi utagundua mashabiki wa simba wengi wao wanaupeo mdogo sana na hii inatoa mwanya viongozi wao kutumia propaganda kuwachezea

Jana tajiri wao kawaambia ataongea nao instagram eti waseme wachezaji wasiowapenda na wanaowapenda wasajili angalia huu uongo na propaganda kuongoza simba ni rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…