Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Jamani tarehe 20 ni kesho kutwa tu, msiseme tumewastukiza.
Mbumbumbu yanaelewa basi? SC players salaries hazina nembo ya klabu, mihuri wala official news website yoyote inayodhihirisha kuwa valid data, hata mimi mwenyewe naweza kuzitengeneza kwenye PC vizuri tu na nikazituma humu JF, ila yalivyokomalia sasa [emoji848][emoji1]
 
Mishahara ya wachezaji iko wazi ni sawa tu na umri wa mchezaj inajulikana
 
hivi mtu na akili zako unaamini huu ujinga!!!
 
Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!

Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
Sasa hiyo mzize iyo 600k kwenye boda akikomaa si anaipata kabisa
 
Hii mbona imekaa kimajungu zaidi
 
Hii mbona imekaa kimajungu zaidi
Nilichogundua kwa huu uzi ni kwamba Uto fans wote hawajui lolote kuhusu wachezaji wao wazawa hawalipwi vizuri.

Endeleeni kumsifia Hersi kuwa ni akili kubwa, Ila dogo Fei toto alishasema "hakuwa na ugomvi na Yanga isipokuwa Hersi ndiye mgomvi wake" 😂😂
 
Shifta ana roho mbaya
 
Nina wasiwasi na hiyo list. Pacome kulipwa 3m na Maxi kulipwa 2m ni uongo uliokubuhu. Pia Farid mwenye exposure ya Ulaya kulipwa 750k haiji kabisa. Chanzo cha hiyo taarifa ni kipi?
NAMNA YA KUGUNDUA TAARIFA SAHIHI
1.Tathimini chanzo chake
2.Tazama vyanzo vingine
3. Tazama lugha na mpangilio wake
4. Tathimini lengo la kutolewa kwake
 
kama ni kweli, inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…