Tetesi: Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake

Tetesi: Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).

IMG_6671.jpeg
 
Lilikuwa ni suala tu la muda. Hii nchi haipo salama hata kidogo. Ukombozi unahitajika haraka iwezekanavyo. Kuendelea kutawaliwa kimabavu na mtu aliyejichagua mwenyewe, ni hatari sana kwa mustakabari wa maisha yetu ya kila siku.
 
Wakuu

Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)

View attachment 3505131

Hakuna haja ya maridhiano kama haya mambo yanaendelea
 
Back
Top Bottom