KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
Waliokua wanaoua Mbeya ndio waliokua wanaua Dar au Arusha,? Wametapakaa koteHawa watekaji ni kwamba wapo wengi kila mkoa au ni wahuni wachache ambao wakipewa Task wanawasha magari yao na kumfuata wanayemtaka, napata mashaka maana kama wapo wengi kiasi hicho nadhani shida itakuwa kubwa Sana mbele ya safari.