RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Spinning nzuri ilikua ni kumuita aende akaripoti polisi,akikaidi ndio akakamatwe na kufunguliwa mashtaka kadhaa,kisheria kama ana hatia!!
Walau awe exchange ya Lisu,na Lisu azuiliwe pale kwake Kwa muda asipate access ya vyombo vya habari!
Walau spinning ya uhakika kidogo kuliko kuchochea hasira ya maandamano ya hapo mbeleni Kwa waandamanaji!!
N.B
Panda kitengo kinaendelea kumharibia alieapishwa ili aharibu zaidi wapate uhalali wao!!?
Najiuliza tu mwenzenu!!