Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu naye kama alikuwa bado nchini basi alikuwa hatumii vizuri ubongo wake. Hakujifunza kwa PolepoleWakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)
View attachment 3505131
People are ready to sacrifice their lives kwa sababu ya justiceHuyu naye kama alikuwa bado nchini basi alikuwa hatumii vizuri ubongo wake. Hakujifunza kwa Polepole
Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)
View attachment 3505131
Hakuna haja ya maridhiano kama haya mambo yanaendeleaWakuu