KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
Waliokua wanaoua Mbeya ndio waliokua wanaua Dar au Arusha,? Wametapakaa koteHawa watekaji ni kwamba wapo wengi kila mkoa au ni wahuni wachache ambao wakipewa Task wanawasha magari yao na kumfuata wanayemtaka, napata mashaka maana kama wapo wengi kiasi hicho nadhani shida itakuwa kubwa Sana mbele ya safari.
NILIPO WAONYENI KUHUSU ROSTAM AZIZI NA KWA SABABU GANI KANUNUA MAKAMPUNI YA SIMU AMKUNIELEWA ...ROSTAM AZIZI ANAFUATILIA KWA KUPITIA MAKAMPUNI YA SIMU KILA NYENENDO ZA WAZALENDO NA KUJUA WALIPO.Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)
View attachment 3505131
Leta ushaidiYupo kenya acheni kuzua taharuki
Ukitoka unakula chumaUkikaa kimya unatekwa, ukiongea unatekwa sasa maamuzi yetu 9/12/2025 kutoka au kubaki tuendelee kutekwa mmoja mmoja.
Nadhani wanaendelea kutupatia sababu za kwanini tunapaswa kupambana na hii serikali hadi ianguke kabisa na itaanguka na hata wao wanajua .Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)
View attachment 3505131
Shida ni lile shetani la kizimkazi Samia suluhu, msiogope semeni tuuHuyu hatokaa apatikane tena kama Polepole
Kuna shida sehemu katika nchi hii!!
Kwa uelewa wangu mdogo Kufanya vitu kama Ivo huhitaji wangu wengi unahitaji watu wachache tu ambao wanaweza Kufanya izo operations nationwide coz ukiwa na msululu wa watu pia control inakuwa ngumuHawa watekaji ni kwamba wapo wengi kila mkoa au ni wahuni wachache ambao wakipewa Task wanawasha magari yao na kumfuata wanayemtaka, napata mashaka maana kama wapo wengi kiasi hicho nadhani shida itakuwa kubwa Sana mbele ya safari.
Sio red flag tena hiyo line tayari iko crossed tayari, Samia, genge lake na police ndio watekaji na wauaji, nawaonea huruma police na familia zao maana hawana protection kama ya Samia na watu wakeHi michezo ya kutekana, itakuja zalisha vikundi vya ujambazi na ikawa ngumu kukabaliana navyo. Sasa hivi kama nchi watu kupotezewa haki ya kuishi imeishakuwa jambo la kawaida, ambayo ni red flag mbaya sana
Sio kila mtu ni muoga.Huyu naye kama alikuwa bado nchini basi alikuwa hatumii vizuri ubongo wake. Hakujifunza kwa Polepole
Umtake rais atoke madarakani ukimtishia kipindi hiki baada ya jàribio la mapinduzi halafu uachwe tu?But why….?
Uzuri ICC hakuna mwenye kinga.Sio red flag tena hiyo line tayari iko crossed tayari, Samia, genge lake na police ndio watekaji na wauaji, nawaonea huruma police na familia zao maana hawana protection kama ya Samia na watu wake
Kama kweli,basi sasa hivi ana maumivu kwelikweli huko alikoSio kila mtu ni muoga.
Tunayakomeshaje mkuuHaya mambo lazima yakomeshwe haraka sana. By any means possible
Usikimbie vita Bali pigana mpaka point ya mwisho.. kufa au kupona yote ni sehemu ya vita.Huyu naye kama alikuwa bado nchini basi alikuwa hatumii vizuri ubongo wake. Hakujifunza kwa Polepole
Kipindi nimetafakari na kuelewa maana ya sikio la kufa halisikii dawa ni hiki. Sioni dalili za maridhiano na watu wanaoendelea kutenda yale yale! Ngoja tuone ....