RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Inawezekana chief, basi hao Jamaa sio rahisi kuacha wanachofanya maana bila shaka wanalipwa Pesa nyingi sana ambayo hawakuwahi kuwaza, mbaya zaidi hawana hofu maana inaonekana backup yao sio level ya kawaida.Kwa uelewa wangu mdogo Kufanya vitu kama Ivo huhitaji wangu wengi unahitaji watu wachache tu ambao wanaweza Kufanya izo operations nationwide coz ukiwa na msululu wa watu pia control inakuwa ngumu
Kwani wewe, ni lazima useme neno kwenye nyuzi za watu mkuuYupo kenya acheni kuzua taharuki
Kiwango cha uvumilivu kikifika mwisho binadamu haogooi tena kupoteza uhai wake. Bado hakuna kitu cha kukufanya ufike hiyo hatua ya kutoogopa ndio maana unaona ajabu, lakini ukifika hatua hiyo nakwambia unaweza kubeba hata silaha kwenda kukinukisha pale pale ikuluHuyu naye kama alikuwa bado nchini basi alikuwa hatumii vizuri ubongo wake. Hakujifunza kwa Polepole
Muda si mrefu tunaendelea kuwa na Mbonelihe humu nchini. Hawa vijana wanaoshikwashikwa makalio watakuja kustuka muda si mrefu na patachimbika!Hi michezo ya kutekana, itakuja zalisha vikundi vya ujambazi na ikawa ngumu kukabaliana navyo. Sasa hivi kama nchi watu kupotezewa haki ya kuishi imeishakuwa jambo la kawaida, ambayo ni red flag mbaya sana
Kupaza sauti kadiri inavyowezekanaTunayakomeshaje mkuu
mnavyojifungia ndan kufikia 2027 watakuwa na jeshi sw na jeshi letu , hz pesa zinaibiwa zinatumika kuendesha hayo makundiHawa watekaji ni kwamba wapo wengi kila mkoa au ni wahuni wachache ambao wakipewa Task wanawasha magari yao na kumfuata wanayemtaka, napata mashaka maana kama wapo wengi kiasi hicho nadhani shida itakuwa kubwa Sana mbele ya safari.
Kipenzi wapi nimefurahia watu kutekwa ama kuuwawa? Watu wanajipoteza wenyewe ili kuichafua serikali au bado hujashtukia😎Kwani wewe, ni lazima useme neno kwenye nyuzi za watu mkuu
Maana inafahamika wazi, wewe ni kati ya watu mnaofanya sherehe baada ya mauwaji haya ya halaiki
Na unafurahia saana ukisikia mtanzania katekwa na ama kuuwawa,
Mkuu, ninachojua, kila mtu anahaki ya kuishi na lazima ya Mwenyezi MUNGU kwa kila mtu kuonja umaauti
Mwenzetu wewe, mbona wafurahi mtu akiuwawa?
Iwe kufa kwa lisasa, kwa magonjwa na ama ajali, na wewe ni miongoni mwa wote watakaoonja umauti
Bora kukaa kimya
Umeongea kweli Chief, huu sio wakati wakubaki ndani na kutia makomeo kwenye Milango, ni wakati sahihi kabisa wa kupeleka salamu kwamba hii ni Nchi yetu tuliyoachiwa na Mababu.mnavyojifungia ndan kufikia 2027 watakuwa na jeshi sw na jeshi letu , hz pesa zinaibiwa zinatumika kuendesha hayo makundi
Tuendelee kusubir adui awe mkakamavu ili tuje tulie vzr