Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

unataka kusema Tanzania hii leo hii ni kama mtaa hadi mtu atoke na gari ww umuone? Leta uthibitisho kuwa vile vitu ni mzigo wa duka la mtu? Kama dogojanja tu ana stock ya kutosha nguo na viatu itakuwa kwa diamond?
 
kwahiyo mond ndiye hana hawa watu uliyewataja!!!

elewa kuna watu wanakutana na hao watu wote kwa ishu kubwa kubwa zaidi sio kuhesabu viatu kwenye shelf kama vijana wengi wanavyofanya wakipata nafasi.
Kila mtu ana watu wanaomjua kiundani hata huyo Sadala ila ukweli Sadala is the most successful artist in Tz na maisha yake zile shares tu za Wasafi anaweza kuishi bila ya kuungaunga hata akiacha muziki, ila na yeye utajiri wake halisi social media huwa zina exaggerate.
 
ukwasi anao ila kwakua ni mtanzania mwenzetu basi Hana,
 

sawa,sijakataa wala sijasema kuna msanii anamzidi.
 
Reactions: Qwy
Hivi jomba unaijua dola milioni saba ni sh ngapi kwa ela za madafu.
Si bil 15 hiviii... Sasa mondi kwa assets alizonazo, magari, uwekezaji kwene media, deals za matangazo, uuzaji wa mziki kwene digital platforms na shows kibao za nje alizofanya asiwe na huo utajiri
 
Si bil 15 hiviii... Sasa mondi kwa assets alizonazo, magari, uwekezaji kwene media, deals za matangazo, uuzaji wa mziki kwene digital platforms na shows kibao za nje alizofanya asiwe na huo utajiri

mnaleta mazoea na hela[emoji23][emoji23][emoji23].
 
mnaleta mazoea na hela[emoji23][emoji23][emoji23].
Mbna hesabu ndgo sadala show ya nje analipwa zaid ya dola 50,000 zaid ya 100M anashow kama hizo kafanya zaidi ya 50 let say katengeneza 5bil kwa show zote za nje hizo.... Mauzo yake ya digital platforms zote kwa mwezi ni zaid ya mil 100 kwa miaka mitano tu katengeneza 5bil.. Magari tu aliopaki yte yanafikia zaid ya thamani 1.5bil...shares tu za wasafi media haziwez kuwa chini ya 3bil kwa mtu anajua uwekezaji wa media house kubwa a naelewa.... Hapo hatujaenda kwene deals kubwa za matangazo kama Pepsi na zingne nyingi... Hapo hujamgusa kwene label yake ya wcb ukizingatia wasanii almost wte wa nafanya vzuri, nyumba anazomiliki, shows za ndani, matamasha ya wasafi festival yanakua na deals za matangazo kibao...
 
Hivi Mondi anamiliki nini zaidi ya kituo cha TV na nyumba moja Madale?
Hata hicho kitu cha Tv sio chake....ni cha wajanja fulani wanampigia hela.

Hao ndio wanaomfake ili kuhakikisha haporomoki kwenye media for the sake of their pockets. ..

Just imagine alivutwa na Manara kwenda ku-fake km yeye ni shabiki wa Simba. ....kukuza brand" vingapi ana-fake
 
Kijana anajituma kwenye mziki, hapo namkubali, ila kwamba ni tajiri hapo huwa sielewielewi..
 

hesabu ndogo kweli kweli.

kila show nje analipwa 100mln??
huyu mtu hali wala hana matumizi!!
yeye kwake zinaingia tu??!
bado hatuwezi kuwa na uhakika wa thamani ya kweli ya magari haya japo ni kweli ni ya pesa nyingi.

share za wasafi 3bln bado pia hatujui ukweli huo tusikadirie.

ktk deals aliishasema yeye mwenyewe si mtu mwingine kwamba,anaingiza 200ml kwa mwezi.
 
Hv huu uzi unaurudia tena kila mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani nature huyu huyu wa kuleweya mbagala kizuiani
 
Mmmh,yaani jize ana $3m,siamini hii habari

Kwa biashara zipi??
 
Utajiri uwa unakadiriwa kile mtu anachoingiza na si matumizi... Forbes wanapotangaza utajiri wa bezos umepanda kwa bil 57 ni pato aliloingiza na wala sio kazitumiaje
 
Huu utajiri wa kwenye makaratasi huwa ni rahisi sana kuucalculate.
 
Kwa hiyo hata TCRA aliwalipa waseme 45% sio zake ili mradi afake?

Wengine mnaweza kubishana na gazeti.
 
Reactions: Qwy
Kwa hiyo hata TCRA aliwalipa waseme 45% sio zake ili mradi afake?

Wengine mnaweza kubishana na gazeti.
Joseph, sio ligi, ila huyu msanii wako ni muongo sana" muongo kupindukia ' .. kuna wakati kati ya vitu 10 anavyotangaza vyote vina kuwa vya uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…