Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Utajiri uwa unakadiriwa kile mtu anachoingiza na si matumizi... Forbes wanapotangaza utajiri wa bezos umepanda kwa bil 57 ni pato aliloingiza na wala sio kazitumiaje

sawa mkuu.

lakini forbes hawa hawa hamtambui bro shida nini??
 

Hapo kwa Jux takupinga hadi kesho hawez mzidi Kiba hata kwa dhambi nasema kwa kuwa namjua na mwenyewe alishawahi kusema anatamani mafanikio ya Kiba (mazungumzo ya kiurafiki)
 
Joseph, sio ligi, ila huyu msanii wako ni muongo sana" muongo kupindukia ' .. kuna wakati kati ya vitu 10 anavyotangaza vyote vina kuwa vya uongo.
Wewe ndiye unayetaka ligi, sasa unabishana mpaka na TCRA na gazeti la mwananchi.
 
Reactions: Qwy
Kwa hiyo hata TCRA aliwalipa waseme 45% sio zake ili mradi afake?

Wengine mnaweza kubishana na gazeti.
Good question, akikujibu with solid facts tafadhali unitag.
 
Hata mi najua Mond alikuwa Yanga kipindi kile anaanza mziki na Ngasa anawika.

JamiiForums mobile app
 
Issue siyo chains hapa, issue ni uchumi. Ali bado sana hata akivaa macheni, kwa maisha ya kawaida ya kubadilisha mboga sawa lakini si zaidi ya hapo.
Izo chuki tu huwezi SEMA Alikiba Hana hela kwa namna yoyote uyu jamaa mfumo tu wa maisha Ila siku akisema alipue issue zake mtajificha
 
Usiamini Kila unachokisikia kwa wale jamaa izo show hawalipwi icho kiasi ulichoweka hapo izo Ni branding technique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…