Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Ila wabongo mna roho mbaya sana aisee
 
Izo chuki tu huwezi SEMA Alikiba Hana hela kwa namna yoyote uyu jamaa mfumo tu wa maisha Ila siku akisema alipue issue zake mtajificha
Ana pesa ya kawaida sana, naongelea kitu ninachokifahamu.
He is a vocally great singer yeah lakini hajatengeza pesa sana, showbiz is more than just a good voice. Lazima uwe business oriented na charisma pia ili upige pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii comment naamini ulikuwa unatania mkuu
 

Huu ni Utopolo mtupu.
 
Ni uzwazwa kutumia dollar ya Marekani kuelezea mambo ya bongo, halafu hamkawii kuwaita mabeberu wanaotaka kuwaua kwa chanjo.
 
Sometimes mnaoenda watanzania tuonekane tuonaoneana wivu yaan Juma Nature ana 1.5b au Alikiba ana 4.5B
🤣🤣🤣🤣hata mimi hapo kwa Juma Nature huwa nashindwa kuelewa.
Afu kwa Alikiba wanajulia wapi ikiwa mtu mwenyewe hapendi mambo ya show off
 
Apo ktk iyo list Ali kiba kawapita wote hao. Ata uyo domo ana lolote, anapenda show off sn sn, na uongo uongo mwingi. Kiba katulia mwana, mpoleeee.
 
According to Baba Revo hapo kwa ali kiba anaingia shilole
 
Ana pesa ya kawaida sana, naongelea kitu ninachokifahamu.
He is a vocally great singer yeah lakini hajatengeza pesa sana, showbiz is more than just a good voice. Lazima uwe business oriented na charisma pia ili upige pesa.
Kiba Ni billionaire mark my word
 
Hivi kweli upo serious au unachemsha jamvi. Kuna Msanii mwenye hizo dollars in terms of millions? Hebu jaribu ku-convert kwa Tshs itakuwa kiasi gani?

Huyo mwenye $ 7 milioni si atakuwa na zaidi ya Tshs billion 3?

Nyuzi zingine zinafikirisha kweli kweli?

Atakayeamini hizi data atakuwa hajui currency exchange convertions.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…