Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
unamsikiliza yule mchumia tumbo ?Halafu johnthebabtist anasema vyama ya upinzani ni mali ya ccm. Kama kweli ni mali ya ccm mbona hao ccm wanaogopa katiba mpya na tume huru.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ndio maana wengi wametandikwa na laanaBaada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Unaambiwa wizi wa bila kupenda ni nomaSi wangeli ufunua tu mfuniko na kuingiza kirahisi
kama ni hivyo uchaguzi wa nini ?Bora wafanye hivo ila sio chadema kuingia ikulu. Watageuka interahamwe.
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe .View attachment 1964679
Majina ya Wahusika yanahifadhiwa kwa sababu za kibinadamu
wala haihusianiKaribu kahawa swahiba
View attachment 1964696
wala haihusiani
Kabisa mkuuNdio maana wengi wametandikwa na laana
Ilibidi wapige video kuonyesha uhalisia,uchaguzi ambao yalibebwa mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kuraUnaambiwa wizi wa bila kupenda ni noma
Kumbe ni kweli?Bora wafanye hivo ila sio chadema kuingia ikulu. Watageuka interahamwe.
Mjinga kwelikweli.Unafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Chadema haijapokea hata sentano kipande ya ruzukuUnafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Hujui kitu kabisa yaaniKama muda wa kuandaa wagombea haupo wanaishia kukodishwa muda wa kufuatilia vitu vya msingi kama kura unatoka wapi
Kufeli kwa upinzani ni kwa kujitakia
Huwezi toa jibu hilo kila mtihani nanukafeli na bado likawa ndio jibu lako