Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini?Chadema haijapokea hata sentano kipande ya ruzuku
La muhimu mkuu 'Erythro', ni kuzitumia hizi kama fundisho.Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe .View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
LOoooh!Baada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Chama Cha Mazezeta akili hiyo ya kufunua mfuniko waipate wapi?Si wangeli ufunua tu mfuniko na kuingiza kirahisi
Kwa nini usianzishe chama chako ili kiongoze nchi?Umeshiba kisamvu unaandika ushuzi wa ngomani.Bora wafanye hivo ila sio chadema kuingia ikulu. Watageuka interahamwe.
Too low hii unaweza hata ukapozi kijijini kwenu na wanakijiji ukatengeneza video ya kwamba unajaza karatasi ya kura kwenye ndoo....,Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe .View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Hapana, mimi sitakutukana, ila kuna mambo umeyasema kama lawama kwa CHADEMA bila kuangalia uhalisia.Unafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Haya ni mawazo potofu. Unataka wafanyeje, wapindue nchi?. Huyo Slaa aligombea mlimchagua?. Mbona uchaguzi uliopita waliungwa mkono. Wakiandamana mnalamika wanafanya vurugu . Wakitulia mnasema wamepoa. Kwangu Mimi CHADEMA ndio watakao amua siasa za nchi hii. Ndio maana wanapigwa Vita.Unafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Ni kweli mkuu na upo sahihi kabisa, lakini suala la kukaribisha mtu, si mtu yeyote tu, lazima kuwe na utaratibu maalumu,vigezo na pia kusimamia msimamo wenu no matter what.., kumkaribisha mtu mliyemuita fisadi no 1, then baadae mnamkaribisha tena agombee uraisi kupitia tiketi ya chama chenu hio imekaaje?Hapana, mimi sitakutukana, ila kuna mambo umeyasema kama lawama kwa CHADEMA bila kuangalia uhalisia.
Ndiyo, CHADEMA wanastahili lawama katika mambo kadhaa ambayo hawayafanyi vizuri, na kubwa zaidi ya yote ni hilo ulilogusia kiaina..., la kuwaendea wananchi ambao ndio wenye uwezo wa kubadili mwelekeo wa nchi hii.
CHADEMA mara nyingi sana wameshauriwa wawashirikishe wananchi, kwa kuwa elimisha na kuwapa uongozi wa nini kifanywe. Juhudi zao huko ni hafifu sana, na ndiyo maana CCM huwachezea kama watoto wadogo kwa kujuwa hawana wananchi walio nyuma yao wanaoweza kuzuia michezo hiyo.
CHADEMA hawahitaji kuwa na mamilioni ya wafuasi wanaoweza kusimamia na kushinikiza mabadiliko yawepo nchini. Wakiwa na wafuasi laki tano hadi milioni moja nchi nzima waliotayari kujitoa mbele, mara moja utaona wengi wa wananchi ambao wako kimya wanaingia kwenye mstari nyuma ya hao, na mabadiliko yanakuwepo.
Kwa hiyo, lawama pekee ninayoweza kukubaliana nawe juu ya udhaifu wa CHADEMA ni huo, wa kuwa wazembe katika kuwashirikisha wananchi.
Hayo ya viongozi mamluki, kama akina Slaa, Ngoyai Lowasa, akina Nyalandu na wengine hayo ni mambo madogo sana. Chama chochote huingiza watu wenye ushawishi ili wapate madaraka.
Si vizuri to enquire bout peoples identities, lkn ningelipenda kumjua huyu mchumia tumbo maana sometimes huwa anakera kwa njaa kaliunamsikiliza yule mchumia tumbo ?
Stop this nonsense, siyo Tanzania, watu tunaogopa sana, watu tu waoga sana tena sana wa KUFA. Hakuna aliyetayari kufa. Mpaka hapo woga utakapo tutoka ndipo tutaona mabadiliko makubwa. Kenya WANANCHI "walimwapisha' Raila pamoja na vitisho ya Uhuru kuwa he will kill them kama watakuja uwanja wa Kamkuji "kumwapisha" Raila. Watu walipuuza kifo wakaja kwa malaki "kuuawa". Siyo Tanzania, Nyerere alitumaliza kabisa. Nenda Tanga, utamwambia Mdigo aandamane? Msambaa? Mbondei?CHADEMA hawahitaji kuwa na mamilioni ya wafuasi wanaoweza kusimamia na kushinikiza mabadiliko yawepo nchini. Wakiwa na wafuasi laki tano hadi milioni moja nchi nzima waliotayari kujitoa mbele, mara moja utaona wengi wa wananchi ambao wako kimya wanaingia kwenye mstari nyuma ya hao, na mabadiliko yanakuwepo.
Siku za kuishi hawa wadhalimu ni chache sana.Mungu anawaonaWazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe .View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Kwetu Zambia raisi wa sasa aligombea mara nyingi bila mafanikio ila hatimae ameshinda.Tumeshazoea hizo habari ajabu kila chaguzi mnashiriki baadae maneno hayo hayo hivyo hivyo kila mwaka hii ni kama ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi
Wakati wa Uchaguzi watu walikuwa hawavai barakoa! Wameanza kuzivaa baada ya JPM kufariki, kwa hiyo hii siyo video ya uchaguzi bali ni "movie" tu. Huyo jamaa anayechomekea makaratasi hayo amevaa "Magwanda' na barakoa, halafu huyo mwingine aliyesimama amevaa sweta ya CHADEMA na barakoa.Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe .View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Fake videoWazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .