Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Daniel Masimbusi ni yule aliyevaa tshirt nyeusi aliyekuwa anamsukuma Nape kwenye gari. muulize alikuwa wapi siku ya tukio la Lissu
Km kuna MTU anaiamini police Tanzania na serkali ya magufuli wapimwe akili
NASHAURI SIRRO AJIUZULU HARAKA SAN HAKUNA CHOCHOTE ANACHOKIFANYA ZAIDI YA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA!
Ukweli ni mtu fulani Ana ka small jeshi lake ambalo ni maalum Kwa ajili ya kufanya operation zake .....sasa sjui Kwa style hiyo Ana nataka toka angani au ?so huenda serikali kwa serikali ndio wanatuchezea?
chabuso wasiojulikana wanajulikana na wachache kama mleta,ila sema umma wa watanzania ndiyo hauwajui!
Afadhali na siye tumejua!
Wanaweza kuwa watu hata kumi tofauti shida iko wapi? Akipatikana mmoja atataja wengine ndivyo inavyokuwa Mkuu!Nimegundua kuwa nina matatizo ya macho sifai kuwa shahidi kwenye jambo lolote kwani macho yananidanganya kuwa ni watu watatu tofauti.......
Bora siro asingelikumbushia hili swala.Hahahahaaaaa wameyakoraga chezea wabongo wewe
Unatumia simu aina ya techno?Huyu mbona kama mfupi na yule wa Nape mrefu
Kwa kumbukumbu kama kuna mwenye clip au picha ya clouds siku ya tukio la RC atuwekee kuna kitu nataka kujiridhisha.
Mkuu hili nalo neno mbona ghafla eti ' mje mtambue miili' mmmh kuna tusilolijua. Anyways mwanzo mzuri tujipe moyo watalipa walichokianza kwa nini Tz ya leo watu wawe waoga kwa sababu za kudhulumiwa uhai wao pasi kosa.Mnajisumbua kutafuta mfu. Huyu anaweza kuwa kwenye vile viroba vinavyokutwa na miili ya watu.