Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Iko siku Mkuu atawaomba radhi watanzania, ugomvi utakaotokea kati yake na RC sio wa nchi hii.
Cha mwisho, mleta thread chukua tahadhari za kila aina, anga, nchi kavu, majini usiku na mchana.

mie na save hizi picha haraka kabla uzi haujafutwa.
LORD OF THE SKIES...
 
Namwamini mleta mada, na amekuja kwa sababu tu.

kwanza ni mwanachama Mpya kabisa kajiunga leo, hana pa kusemea amekuja kutupa ukweli, Sirro ,makonda na wenzenu, Siri ni ya Mtu mmoja, Mkiwa wengi hakuna siri, mtaumbuka siku sio nyingi
Huyo ni member mzoefu, lakini kaona akileta umbea wake hapa kwa id yake ya siku zote, hakuna atayemtilia maanani. Watu wanaotafuta attention hufanya hivyo.
 
Kama ni hivyo Nape kwa nini asiende kumfungulia mashtaka huyo hery?

Hamjapata na video yake ya mwaka 2008?
Nape hawezi kumfungulia mashtaka, kamanda siro kasema hawamjui aliyemtishia Nape kwa bastola. Unategemea nini hapo. Kuna mambo yanatia hasira ila Siro anajiaibisha.
 
Mkuu distance ya mpiga picha wa camera flani,huwa inatofautiana na mpiga picha mwingine na distance ya mwingine na camera flani.

pia kuna angle of depression na angle of elevation ktk upgaj picha cdhn km analijua ilo
 
Huyo ni member mzoefu, lakini kaona akileta umbea wake hapa kwa id yake ya siku zote, hakuna atayemtilia maanani. Watu wanaotafuta attention hufanya hivyo.

Tufanye unayoyasema kuhusu attention ni kweli, Je, hizo picha nazo unazikataa? nazenyewe zinatafuta attention?
 
Nafikiri MAULIDI KITENGE NDIYE PEKEE ANAWEZA KUTUSAIDIA HAPA KWA HIZI PICHA MNAZOSAMBAZA, binafsi hapo bado siwezi kuthibitisha hiyo sura, kimo na yule anayeonekana kwenye video ya NAPE..
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…