Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hii hii inayouza jezi elfu 10Simba aliyeufyata mkia?
Kupata VITUKO kama hivi andikaKlabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Thamani ya timu bil 20, halafu jezi tu bil 30 haiwezekani.Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Iyo bilion 20 ilikuwa mwaka gani na sahiv mwaka gani?? Je kiwanja chako ulikinunua milion moja mwaka 2013 je sahiv ukikiuza utakiuza milion moja ile ile??Thamani ya timu bil 20, halafu jezi tu bil 30 haiwezekani.
Je kuwanja ulichokonunua 2013 milion moja sahiv utakiuzaiyo iyo milion moja?Thamani ya timu bil 20, halafu jezi tu bil 30 haiwezekani.
Huelewi biashara.Mo Dewji kainunua simba kwa bilioni 20 na mpaka leo hajailipa.
Ila anasaini mkataba wa jezi wa bilioni 30.
Hii ndio janja janja
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.5imba hii hii inayogomea mechi kisa mazoezi ya mbuzi
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.[emoji23][emoji23][emoji23]kupata vituko hivi bonyeza vipenyo vya wansimba wote
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.