Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.

Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.

Screenshot 2025-03-12 140725.png
Pia, Soma
 
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.

Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.

Pia, Soma
Kupata VITUKO kama hivi andika

....KWENDA no 15777
 
Kwenye b 30 apo uongo, mo b 20 matangazo yake daima simba , vunja bei kwa mwaka aliweka b 1 au 2 , miaka mitano iwe bi 30 faida yake inarudije labda useme uyo mwekezaji anategemea kupata iyo faida baada ya kuweka b 10 iv
 
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.

Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.

Pia, Soma
Thamani ya timu bil 20, halafu jezi tu bil 30 haiwezekani.
 
Iyo bilion 20 ilikuwa mwaka gani na sahiv mwaka gani?? Je kiwanja chako ulikinunua milion moja mwaka 2013 je sahiv ukikiuza utakiuza milion moja ile ile??
 
Mo Dewji kainunua simba kwa bilioni 20 na mpaka leo hajailipa.

Ila anasaini mkataba wa jezi wa bilioni 30.

Hii ndio janja janja
Huelewi biashara.
Je aliyesababisha Simba kufikia hapo nani kama si uwekezaji wa MO?
 
5imba hii hii inayogomea mechi kisa mazoezi ya mbuzi
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kupata vituko hivi bonyeza vipenyo vya wansimba wote
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.
 
wewe umeshasaini mikataba minono mingapi?
Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.
 
Ata iyo klabu ya Simba MO hakununua kwa Bilion 30.
 
Back
Top Bottom