Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
 
Hiyo mbona iko wazi ndiyo maana amekubali haraka kutoa 12b na manpower kusaidia ila hali ni tete na mjomba wako 12B ameshaisunda hao vidampa wake kawatengea 500m wagawane hivyo matokeo yoyote yeye hayatamuumiza amesha piga mkwanja na mama dula hawezi kumdai tena atabaki anapambana na Sukuma Gang ndani ya CCM na wameapa bora awe Lissu kuliko yeye,huu mtanange unazidi kunoga,unavuma huku Chadema ili kumuaminisha kuwa vita inapiganwa lakini ukweli vita kali iko ndani ya CCM ni vile tu haivumi. Mimi nimekaa pale 👉👉
 
Chadema naona kama wana shida zao ndani hawana mpango kabisa wa kuwanyang'anya ccm madaraka ya kuongoza nchi. Wanapata hata muda wa kuplan hilo kweli kwa wanayopitia?
 
20250112_203002.jpg
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Bado hamjatosheka na hela alizawapa Abdul tuu?
Eti Mbowe apewe hela ili apambane na Lissu vinginevyo Samia hatashinda.
Nyumbu walafi sana.
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Unatumia fake ID bado unaandika kwa kuficha maneno,na hata kama hutumii fake ID sasa hapo unachokiogopa ni nini unaandika hovyo hovyo.
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Huwa mnafikiria nini?
Yaani Togolani awe Rais wa Nchi?
Yeye mwenyewe akisikia hii ataugua.
 
Back
Top Bottom