Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

Ccm hali mbaya, 2025 watz jiandae kwa mabadiliko.

Simuoni wa kushindana na kimbuga kijacho labda angalau ,Mtoto wa Nyerere asimame ambae ni mkuu wa mkoa au Mtaka ,vinginevyo ccm mtadhalilika sana
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Huyo Togolan ana mtaji gani wa kisiasa, au unamsagia kunguni awekwe benchi chap chap?!!
 
Ccm hali mbaya, 2025 watz jiandae kwa mabadiliko.

Simuoni wa kushindana na kimbuga kijacho labda angalau ,Mtoto wa Nyerere asimame ambae ni mkuu wa mkoa au Mtaka ,vinginevyo ccm mtadhalilika sana
Kwani hawataiba kura kama siku zote?
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Atatenguliwa mtu sasa hivi.
 
Kwaiyo jirani ya Kiduku, jamong ndiyo amepangwa kushindana miss ewala ewala
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Kama Kuna mtu amewaza Kwa akili kubwa tangu umeanza mwaka 2025 ni wewe!!

Ila vumilia matusi kutoka Kwa chawa
 
Back
Top Bottom