Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hayo ni mawazo na porojo kama za walevi tu.Hahahaaa. Ngoja Lucas Mwashambwa aje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo na porojo kama za walevi tu.Hahahaaa. Ngoja Lucas Mwashambwa aje.
NdotoLissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Jifunze kufungua codeHuwa mnafikiria nini?
Yaani Togolani awe Rais wa Nchi?
Yeye mwenyewe akisikia hii ataugua.
Madiluu sistemee....😀😀
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Mbaya zaidi upande wa pili wanazo hoja nzito nzito . Bandari, wamasai , airport , utekaji nk hizi zikiwa well communicated kwa wananchi bi mkubwa atakuwa kwenye mtumbwi alfajiri na mapema. Tundu hiyo kazi anaiwezaHii inaweza ikawa sahihi kabisa.
Maana mama yule hanaga kabisa hoja akiwa kwenye jukwaa.
Watu wengi huja kwa sasababu wamelipwa posho.
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣😂Hii inaweza ikawa sahihi kabisa.
Maana mama yule hanaga kabisa hoja akiwa kwenye jukwaa.
Watu wengi huja kwa sasababu wamelipwa posho.
Bila Tume HURU ya UchaguziCHADEMA si tishio kwenye nafasi ya uraisi.
Weeh jamani vipi Tena huko ndani ndani Kuna Giza Giza lipi Tena ?Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Mmmh posho jamani posho !Hii inaweza ikawa sahihi kabisa.
Maana mama yule hanaga kabisa hoja akiwa kwenye jukwaa.
Watu wengi huja kwa sasababu wamelipwa posho.
Aah, tunamuombea tu neema KUU kama hiyo naye imfikie siku Moja hapo baadayeUna ugomvi na Mavura, unataka aondolewe ubalozini?
Muacheni Mavura apige kaziUna ugomvi na Mavura, unataka aondolewe ubalozini?