Hiyo mbona iko wazi ndiyo maana amekubali haraka kutoa 12b na manpower kusaidia ila hali ni tete na mjomba wako 12B ameshaisunda hao vidampa wake kawatengea 500m wagawane hivyo matokeo yoyote yeye hayatamuumiza amesha piga mkwanja na mama dula hawezi kumdai tena atabaki anapambana na Sukuma Gang ndani ya CCM na wameapa bora awe Lissu kuliko yeye,huu mtanange unazidi kunoga,unavuma huku Chadema ili kumuaminisha kuwa vita inapiganwa lakini ukweli vita kali iko ndani ya CCM ni vile tu haivumi. Mimi nimekaa pale 👉👉Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Bado hamjatosheka na hela alizawapa Abdul tuu?Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Uki pambania wengi, Wana kugeuza mfano.Siasa za nchi masikini, kila mmoja anapambania tumbo lake
Hao chawa wa Mbowe wanataka rushwa toka kwa mama wanamtisha eti Mbowe akishindwà na Sami a atashindwa kitu ambacho si kweli.Ramli chongeshi na gombeshi
Rushwa inasemwa midomoni tu ila ngoja washindeUki pambania wengi, Wana kugeuza mfano.
Yaani Wana angua papai, kwa bunduki
Una mkumbuka ruge malira??, ali kuwa ana toa sadaka 160mRushwa inasemwa midomoni tu ila ngoja washinde
Mpaka makochi wanapokea na kuyaita Takrima
Unatumia fake ID bado unaandika kwa kuficha maneno,na hata kama hutumii fake ID sasa hapo unachokiogopa ni nini unaandika hovyo hovyo.Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Huwa mnafikiria nini?Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.