Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Jamaa utafikiri alikuwa anachapisha helaUna mkumbuka ruge malira??, ali kuwa ana toa sadaka 160m
Eti Togo... NaHuwa mnafikiria nini?
Yaani Togolani awe Rais wa Nchi?
Yeye mwenyewe akisikia hii ataugua.
Yule muhindi alie bebea taksi, aisee watu Wana vurugu🤣😂Jamaa utafikiri alikuwa anachapisha hela
Hapo ndio utajua hela ni mchawi
Mpaka maaskofu wakaingia mtegoni dini wakaiweka pembeni
Cheza na hela wewe 😄 🤣
Huyo Togolan ana mtaji gani wa kisiasa, au unamsagia kunguni awekwe benchi chap chap?!!Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Kwani hawataiba kura kama siku zote?Ccm hali mbaya, 2025 watz jiandae kwa mabadiliko.
Simuoni wa kushindana na kimbuga kijacho labda angalau ,Mtoto wa Nyerere asimame ambae ni mkuu wa mkoa au Mtaka ,vinginevyo ccm mtadhalilika sana
Tunza hii , ccm wanaenda kupata shida kubwa , kwanza hawana mtu wamemuandaa kabiliana na haya mafuriko,wameandaa machawa tuKwani hawataiba kura kama siku zote?
Atatenguliwa mtu sasa hivi.Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Sasa kwanini huko mafisi yaongoze watu badala ya watu kuongoza mafisi?
Kama Kuna mtu amewaza Kwa akili kubwa tangu umeanza mwaka 2025 ni wewe!!Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Hahahaaa. Ngoja Lucas Mwashambwa aje.Kama Kuna mtu amewaza Kwa akili kubwa tangu umeanza mwaka 2025 ni wewe!!
Ila vumilia matusi kutoka Kwa chawa