technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Hawataki karantiniNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Hivi Bungeni linapiganaje hii vita ya Covid-19 mkuu?Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Hakuna sababu ya kuhangaika na mamluki hela wale wao na wake zao waliowapigia kura waendelee na unyonge wao wanasiasa uchwara tatizo sanaNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Chadema ni jangaKweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Ndiyo maana sipigagi kura na miaka yng 50+ wanasiasa wote wanajali matumbo yao tuu ngoja na Mimi nigombee mwaka Huu nikale hela za malofaHakuna sababu ya kuhangaika na mamluki hela wale wao na wake zao waliowapigia kura waendelee na unyonge wao wanasiasa uchwara tatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kina standard zake ambazo lazima ziwe obeyed na wanachama, wakishindwa kusocialize na chama si wanachama...haina tatizo.
..hiyo ndiyo DEMOKRASIA.
..mbona Raisi hajatokea ofisini kwake, lakini waziri mkuu anaripoti kazini?
Watu hawana hela, wanamadeni, bunge wanalitaka na hamna namna zaidi ya kutangatanga.Chadema ni janga
Wanachoenda kukitafuta watakipataNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.