soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,114
- 2,339
Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Jitekenye alafu cheka kwa sautiii!!