Inadaiwa kuna Wabunge wa CHADEMA wataenda bungeni kesho

Inadaiwa kuna Wabunge wa CHADEMA wataenda bungeni kesho

Silinde nilikuwa sijui kama ni mpumbavu ivyo
 
mwenyekiti anatanua kwa ruzuku halafu anawadanganya wenzie wasiende waikose 300k.

magu amekaa anacheka,jinsi atakavyoipeleka kwenye ujenzi wa stigg joji[emoji23][emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbu! Baadhi yao wanaumia tu lkn hawana jinsi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mwenyekiti anatanua kwa ruzuku halafu anawadanganya wenzie wasiende waikose 300k.

magu amekaa anacheka,jinsi atakavyoipeleka kwenye ujenzi wa stigg joji[emoji23][emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
300,000/= ndo inayowafanya wabunge Wa ccm waendelee kukomaa bungeni, wengine wameapa kufia bungeni wakitetea posho
 
Wanasiasa wengi tu nchini wajingawajinga!!! Halafu siasa hata kama ukiwa ni mjinga Sana Ila tu ukiongea kumpinga mwingine unaonekana shujaaa Kwa wajinga mashujaa wa Ujinga

Ni ujingaujinga mwingi Sana vichwani mwa wanaofanya siasa zao Kwa Nia ya watu furani furani wasikie msimamo wao Kwa kuwa nao wanapenda Ujinga huo ukifanyika Africa

Mtu Tu kutoka anakokujua aamuru Tu wenzake wasishiriki Bunge bila kufikir kwamba Kwa kazi hiyohiyo kunawanaoingia Ofsini Hadi leo, Je umefanya utetezi upi kwao?

Kuna Madactari ambao Wapo ktk sintofahamu ya maisha Yao utasemaje wewe uache Bunge Wakati wewe unaeneo la kuchagua ukae Mita ngapi kutoka Kwa mwenzako?

Ni Ujinga mwingi vichwani mwa wanasiasa wengi Sana,
 
Nashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Suala la corona ni suala la afya sio siasa. Kama kuna wabunge wanajihisi wagonjwa hivyo wameamua kwa hiyari kujikarantini ni sawa. Lakini pia kama wengine wanajiona wazima ni sawa vilevile kuhudhuria. Kwa nini wewe unataka kulazimisha wabunge wanaopenda kuhudhuria wasiende wakati suala la afya yao ni lao binafsi? Wewe shughulika na afya yako usijifanye una uchungu na afya ya wabunge walioamua kuhudhuria kuliko wao wenyewe. Acha unafiki
 
Chadema ni ile ya katibu mkuu Dkt Wlbrd Slaa hii ya sasa bado sijaielewa
 
Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Yaani we kweli zumbukuku, tutajua bunge la nchi yoyote linaloendelea sasa hivi ukiacha la Tz?
Wengine mna bahati yakupata nafasi yakuchangia mijadara mzito inayohusu mustakabali wa nchi lakini akili zenu sasa!🙄
 
walewale wanakuja kutimuka kabla ya october
 
Back
Top Bottom