Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Kwa hiyo unashauri mwenyekiti aachie nafasi?Hatuwezi kuendeshwa kwa hisia binafsi za mwenyekiti. Wananchi wametupa dhamana tukawatetee yeye anataka tutoke, mwisho wa mwez anataka tuchange milion moja kila mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama unajitekenya halafu unacheka mwenyeweNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Chama kina standard zake ambazo lazima ziwe obeyed na wanachama, wakishindwa kusocialize na chama si wanachama.
Maelekezo ya baba, kamanda wa jeshi ni amri isiyohojiwa.
Kutopiga kura ni ufala! Usijisifie kwa jambo la kijinga namna hiyo. Tungekuwa tunapiga kura walau hata asilimia 80 ya wenye sifa, wanasiasa wangetuheshimu maana wasingekuwa na ubavu wa kununulia watu kanga na tisheti.Ndiyo maana sipigagi kura na miaka yng 50+ wanasiasa wote wanajali matumbo yao tuu ngoja na Mimi nigombee mwaka Huu nikale hela za malofa
Sent by IPhone
Wao wataamua wenyewe, tunachokosea Ni kupinga maamuzi ya watu kujiwekea self isolation.Pale bungeni wabunge wanafanya utani, wataendelea kuchomoka tuMbona kama unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Siku 14 zikiisha mtakwenda wapi ambako corona haipo?
Nimemsikiliza mnyika anasema ule sio uamuzi Wa Mbowe Bali Ni maelekezo ya Chama, mbunge ukikiuka maelekezo ya chama Ni kujipalia makaa bure, hiyo Ni kwa chama chochote hata iwe ccm.wabunge Wa ccm wanajua hili vizuri.Hatuwezi kuendeshwa kwa hisia binafsi za mwenyekiti. Wananchi wametupa dhamana tukawatetee yeye anataka tutoke, mwisho wa mwez anataka tuchange milion moja kila mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo point ya msingi uliyoongea Ni posho tu basi yaani 14×300,000/= sawa Na 3,420,000/= basi nje ya hapo uwongo.Halafu hichi ni kikao cha lala salama baada ya hapo mpaka tena baada ya Uchaguzi mwakani panapo majaliwa kama mtu atajaliwa kurudi.
Kagudhurieni kwanza huku mkifanya mazungumzo na spika muone itakuwaje ,
Msiache kuwakilisha wananchi wenu kwenye bunge hili muhimu la budget.
Posho nayo ni muhimu siku hizi hela imezidi kuwa adimu sana huku mtaani.
Halafu hizo si ndiyo zitawwsaidia kwenye kuweka mafuta wakati wa campaigns?
Nendeni kashirikini bunge lakini mchukue tahadhari ya juu sana ili kujilinda na huku mkimtumaini Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
Mkuu hapo point ya msingi uliyoongea Ni posho tu basi yaani 14×300,000/= sawa Na 3,420,000/= basi nje ya hapo uwongo.
Nimemsikiliza mnyika anasema ule sio uamuzi Wa Mbowe Bali Ni maelekezo ya Chama, mbunge ukikiuka maelekezo ya chama Ni kujipalia makaa bure, hiyo Ni kwa chama chochote hata iwe ccm.wabunge Wa ccm wanajua hili vizuri.
vyama vyote ndo hivoChadema ni janga
Akapambane kwanza oktoba Huyo mbatia, maana naona Jpm anamharibiaMbowe ajiandae kumkabidhi Mbatia lile shangingi lenye namba (STL).
Punguza sauti wasikusikie ,watakufurumushaHakuna kikao chochote tulichokaa kuamua hivyo, msimamo wa chama unapaswa kua shirikishi. Huu ni ubabe
Sent using Jamii Forums mobile app