LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Ni nilichokisikia wanajiweka karantini Siku 14, mengine sijasikia labda anayejua atuambie hapaKumbe ni kwa siku 14 tu?
Halafu kwa kiasi hicho cha fedha kwa mbunge
Ni pesa ndogo sana kama ya mboga tu!
Nilizani wataacha kwenda kwa kipindi chote kilichobaki hadi bunge kuisha Yani end of June
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdude chadema anasema, cdm wakipimwa korona huwa wanapimwa mavi!!!!!!!!Nashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Sio kila msimamo Wa chama unapaswa kuwa shirikishi, Ni uwongo.Punguza sauti wasikusikie ,watakufurumusha
Weka ushahidi hapa.hahaMdude chadema anasema, cdm wakipimwa korona huwa wanapimwa mavi!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tunasema hiyo ni SACCOS, chama Cha siasa katika nchi ya kidemokrasia lazima kiwe shirikishi katika kila nyanja ya maamuzi.Sio kila msimamo Wa chama unapaswa kuwa shirikishi, Ni uwongo.
Hyo hapa Tanzania hakuna chama cha kushirikisha kila kitu Mkuu. Hakuna.Ndio maana tunasema hiyo ni SACCOS, chama Cha siasa katika nchi ya kidemokrasia lazima kiwe shirikishi katika kila nyanja ya maamuzi.
300,000/= ndo inayowafanya wabunge Wa ccm waendelee kukomaa bungeni, wengine wameapa kufia bungeni wakitetea poshomwenyekiti anatanua kwa ruzuku halafu anawadanganya wenzie wasiende waikose 300k.
magu amekaa anacheka,jinsi atakavyoipeleka kwenye ujenzi wa stigg joji[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la corona ni suala la afya sio siasa. Kama kuna wabunge wanajihisi wagonjwa hivyo wameamua kwa hiyari kujikarantini ni sawa. Lakini pia kama wengine wanajiona wazima ni sawa vilevile kuhudhuria. Kwa nini wewe unataka kulazimisha wabunge wanaopenda kuhudhuria wasiende wakati suala la afya yao ni lao binafsi? Wewe shughulika na afya yako usijifanye una uchungu na afya ya wabunge walioamua kuhudhuria kuliko wao wenyewe. Acha unafikiNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Yasemekana wengine wanakwenda nccrNashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
Yaani we kweli zumbukuku, tutajua bunge la nchi yoyote linaloendelea sasa hivi ukiacha la Tz?Kweli CHADEMA wananifurahisha, yaani wamekimbia wapiga kura wao kabisa. Mpaka sasa sijasikia sehemu nyingine duniani hata kule kwenye vifo vingi wabunge wakiomba shughuli za bunge zisitishwe. Haya ni maajabu ya Tanzania tu.
subiri tuone kama kweli wabunge wa cdm watasusia 300000/=300,000/= ndo inayowafanya wabunge Wa ccm waendelee kukomaa bungeni, wengine wameapa kufia bungeni wakitetea posho