Kipindi cha Marehemu aliwezaje kuendesha miradi na kipindi hiki mpemba anashindwa nini!??Mambo ya kukurupuka kuanzisha miradi kwa lengo la kupiga 10% matokeo yake ndiyo haya sasa,mtu anawaaminisha watu kwamba nchi yetu ni tajiri ilhali akijua ni uongo mtupu na watu walivyokuwa majuha wanashangilia tu.
Halafu kuna watu watakwambia Magufuli ndio kaifilisi nchi na Samia anaishi katika maamuzi mabovu ya Magufuli.Alianzisha miradi mikubwa ya kimkakati na vyote vilikuwa vinatekelezwa kwa Kasi. Na ambayo ilipaswa kukamilika ilikamilika kwa wakati
Ila unaweza kuaccomodate ufisadiUchumi wetu dhaifu ku accomodate utekelezaji wa miradi mikubwa kwa mpigo.
Mkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.Halafu kuna MAFALA NA MAPUNGUANI watakwambia Magufuli ndio kaifilisi nchi na Samia anaishi katika maamuzi mabovu ya Magufuli.
Punguani wahid hawa.
Nataja facts na wewe utaje facts za Magufuli kufirisi nchi.Mkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.
Matusi na propaganda uchwara haibadilishi ukweli kuwa alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Pia mniwie radhi nitairekebisha post yangu.Mkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.
Matusi na propaganda uchwara haibadilishi ukweli kuwa alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Kuingia uchumi wa kati Kwa mujibu wa IMFMkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.
Matusi na propaganda uchwara haibadilishi ukweli kuwa alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Matumizi makubwa na ya hovyoLazima ifeli tu haiwezekani PhD za kubumba za kina mwiguli ndo ziongoze wizara
Bora ya marehemu huyu hapanaNani tumpe maua yake , marehemu Magufuli au huyu Bi Hangaya??
CCM huo ubunifu hawana mkuuHakuna kitu kibaya kama kuishi kwa uongo na udanganyifu.... rasilimali sio mali. Hata Nyerere na ubishi wake wote, reli ya TAZARA alijenga kwa mkopo. Nchi hii haina uwezo wa kujenga reli ya 15Bil usd.
Yule bwana mbishi alianza kwa fedha za ndani, hali ilivyokuwa mbaya akakimbilia commercial banks[Ujinga wa kiwango cha juu kabisa].
Hela unayopata kwa tabu, peleka kwenye matumizi yasiyo ya uwekezaji wa moja kwa moja; elimu, afya etc. Hizi za kibiashara, tafuta mtu atengeneze, aendeshe mgawane faida. Unachukua pesa ya korosho kwenda kununua chuma China!
Nchi imekuwa ya hovyo haina mtu wa kusimamia kabisaNi kweli mkuu, hali ya mambo sio nzuri na wakati huo hakuna mkakati Madhubuti unaoonekana kuhakikisha kunakuwa na smooth implementation lakini pia usimamizi mzuri wa mradi......kila mtu saizi anafikiria kuiba tu
Kama hakuna msimamizi wa maana hata wewe lazima ungeiba mkuuKabisa, wapumbavu wengi huwa wanakuwa active sana nyakati hizi kuchota hizo pesa ambazo zilikuwa allocated kwa issue Fulani ila sababu ya ujanjaujanja zinatengenezewa mazingira ya kuibiwa wakati huu....very sad.
Kwa iyo saiv tumkumbuke Mwendazake mkuuBora ya marehemu huyu hapana
Mkuu akikujibu naomba unitag pi nisome.Nataja facts na wewe utaje facts za Magufuli kufirisi nchi.
Magufuli aliiendeleza hii nchi kwa yafuatayo;
1)Aliweka nidhamu katika utumishi wa umma,hii ilisaidia well provision of social services na unyanyasaji ukapungua.
2)Aliongeza wimbi la wasomi/percentage of literacy rate kwa kuweka elimu bure mpaka kidato cha nne na ada nafuu kidato cha 5 na 6.
3)Alifufua baadhi ya vitu ambavyo kama vingesimamiwa vyema ni vya kuongeza pato la taifa,mathalan ufufuaji wa njia ya reli ielekayo Arusha/Moshi na ufufuaji wa kusafirisha mizigo kuelekea Uganda kwa njia ya reli kupitia Lake Victoria.
Hii iliongeza fursa za ajira na kipato TRC.
3)Utekelezaji wa miundombinu muhimu ambayo ipo iliyoboreshwa na ipo iliyoanzishwa mipya ambayo imeongeza ufanisi wa uzalishaji katika sekta husika,mathalan ubadilishaji wa reli ya zamani ya TRC kuwa continous welded,kuliongeza ufanisi wa treni kutembea katika reli kwa mwendo kasi,ujengaji madaraja yaliyosaidia usafiri kuwa rahisi mathalan Tanzanite bridge,Nyerere bridge na Kigogo-Busisi bridge,kijazi interchange na flyover nyingine ikiwemo ya uhasibu,kumefanya raia tuokoke sana na foleni na kuwahi sehemu za uzalishaji.
4)Ufufuaji wa vitu ama mashirika ya serikali,japo nguvu haikutosha ila hatua ilikua nzuri mathalan ATCL na TTCL,la TTCL lilifanikiwa zaidi japo baada ya yeye kufariki TTCL ikazorota tena.
5)Uanzishaji wa miradi yenye tija kama ingesimamiwa vizuri katika uzalishaji na urahisishaji baadhi ya huduma za kijamii mathalan unazishwaji wa mwendokasi na JNHPP power utakaozalisha umeme kwa wingi.
6)Ideology ya Tanzania kujitahidi kujitegemea wenyewe na kupunguza utegemezi wa mataifa ya kibepari.
7)Uimarishaji wizara ya madini kwa kuleta gold refinery na kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo kiuzalishaji.
Hili lime boost uuzaji wa dhahabu safi yenye kiwango kutoka Tanzania ambayo ni 99.99% na matunda yake mpaka sasa yanaonekana.
Hatua zote hizi ziliifanya Tanzania itoke katika nchi zenye umasikini komavu(poorest country with intensive poverty)na kuwa katika nchi zenye umasikini wa kawaida(Low middle income country).
Ila cha ajabu kuingia 2022 Tanzania imerudi katika nchi yenye umasikini komavu na kuwa miongoni mwa mataifa 35 masikini duniani.
Aya lete wewe facts za kusema MAGUFULI KAIFILISI NCHI.
Ukileta hizo nitakuletea hatua alizozifanya Samia ambazo zikaifelisha Tanzania.
I concur with youNahisi miaka ijayo kizazi kinachokua hakuna atakayethubutu kumchagua mgombea mwenza kuwa mwanamke.
Na pia nahisi huko mbeleni kama hiki kizazi hakitarekebisha sera basi kitaivunjilia mbali hii CCM.
Ila Magufuli TUNAKUKUMBUKA SANA TENA SANA kwa mengi.