Inadaiwa kuwa serikali ya Tanzania imeishiwa pesa na kuongeza wasiwasi wa kukamilika kwa SGR huku kukiwa na ahadi za uongo

Mambo ya kukurupuka kuanzisha miradi kwa lengo la kupiga 10% matokeo yake ndiyo haya sasa,mtu anawaaminisha watu kwamba nchi yetu ni tajiri ilhali akijua ni uongo mtupu na watu walivyokuwa majuha wanashangilia tu.
Kipindi cha Marehemu aliwezaje kuendesha miradi na kipindi hiki mpemba anashindwa nini!??
 
Alianzisha miradi mikubwa ya kimkakati na vyote vilikuwa vinatekelezwa kwa Kasi. Na ambayo ilipaswa kukamilika ilikamilika kwa wakati
Halafu kuna watu watakwambia Magufuli ndio kaifilisi nchi na Samia anaishi katika maamuzi mabovu ya Magufuli.
 
Nahisi miaka ijayo kizazi kinachokua hakuna atakayethubutu kumchagua mgombea mwenza kuwa mwanamke.
Na pia nahisi huko mbeleni kama hiki kizazi hakitarekebisha sera basi kitaivunjilia mbali hii CCM.
Ila Magufuli TUNAKUKUMBUKA SANA TENA SANA kwa mengi.
 
Uchumi wetu dhaifu ku accomodate utekelezaji wa miradi mikubwa kwa mpigo.
 
Halafu kuna MAFALA NA MAPUNGUANI watakwambia Magufuli ndio kaifilisi nchi na Samia anaishi katika maamuzi mabovu ya Magufuli.
Punguani wahid hawa.
Mkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.

Matusi na propaganda uchwara haibadilishi ukweli kuwa alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
 
Nataja facts na wewe utaje facts za Magufuli kufirisi nchi.
Magufuli aliiendeleza hii nchi kwa yafuatayo;
1)Aliweka nidhamu katika utumishi wa umma,hii ilisaidia well provision of social services na unyanyasaji ukapungua.
2)Aliongeza wimbi la wasomi/percentage of literacy rate kwa kuweka elimu bure mpaka kidato cha nne na ada nafuu kidato cha 5 na 6.
3)Alifufua baadhi ya vitu ambavyo kama vingesimamiwa vyema ni vya kuongeza pato la taifa,mathalan ufufuaji wa njia ya reli ielekayo Arusha/Moshi na ufufuaji wa kusafirisha mizigo kuelekea Uganda kwa njia ya reli kupitia Lake Victoria.
Hii iliongeza fursa za ajira na kipato TRC.
3)Utekelezaji wa miundombinu muhimu ambayo ipo iliyoboreshwa na ipo iliyoanzishwa mipya ambayo imeongeza ufanisi wa uzalishaji katika sekta husika,mathalan ubadilishaji wa reli ya zamani ya TRC kuwa continous welded,kuliongeza ufanisi wa treni kutembea katika reli kwa mwendo kasi,ujengaji madaraja yaliyosaidia usafiri kuwa rahisi mathalan Tanzanite bridge,Nyerere bridge na Kigogo-Busisi bridge,kijazi interchange na flyover nyingine ikiwemo ya uhasibu,kumefanya raia tuokoke sana na foleni na kuwahi sehemu za uzalishaji.
4)Ufufuaji wa vitu ama mashirika ya serikali,japo nguvu haikutosha ila hatua ilikua nzuri mathalan ATCL na TTCL,la TTCL lilifanikiwa zaidi japo baada ya yeye kufariki TTCL ikazorota tena.
5)Uanzishaji wa miradi yenye tija kama ingesimamiwa vizuri katika uzalishaji na urahisishaji baadhi ya huduma za kijamii mathalan unazishwaji wa mwendokasi na JNHPP power utakaozalisha umeme kwa wingi.
6)Ideology ya Tanzania kujitahidi kujitegemea wenyewe na kupunguza utegemezi wa mataifa ya kibepari.
7)Uimarishaji wizara ya madini kwa kuleta gold refinery na kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo kiuzalishaji.
Hili lime boost uuzaji wa dhahabu safi yenye kiwango kutoka Tanzania ambayo ni 99.99% na matunda yake mpaka sasa yanaonekana.

Hatua zote hizi ziliifanya Tanzania itoke katika nchi zenye umasikini komavu(poorest country with intensive poverty)na kuwa katika nchi zenye umasikini wa kawaida(Low middle income country).

Ila cha ajabu kuingia 2022 Tanzania imerudi katika nchi yenye umasikini komavu na kuwa miongoni mwa mataifa 35 masikini duniani.

Aya lete wewe facts za kusema MAGUFULI KAIFILISI NCHI.
Ukileta hizo nitakuletea hatua alizozifanya Samia ambazo zikaifelisha Tanzania.
 
Pia mniwie radhi nitairekebisha post yangu.
 
Mkuu tetea hoja yako kwa kuanisha facts and proofs za hayo maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi na Taifa hili katika kipindi chake.

Matusi na propaganda uchwara haibadilishi ukweli kuwa alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Kuingia uchumi wa kati Kwa mujibu wa IMF
 
Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa uongo na udanganyifu.... rasilimali sio mali. Hata Nyerere na ubishi wake wote, reli ya TAZARA alijenga kwa mkopo. Nchi hii haina uwezo wa kujenga reli ya 15Bil usd.

Yule bwana mbishi alianza kwa fedha za ndani, hali ilivyokuwa mbaya akakimbilia commercial banks[Ujinga wa kiwango cha juu kabisa].

Hela unayopata kwa tabu, peleka kwenye matumizi yasiyo ya uwekezaji wa moja kwa moja; elimu, afya etc. Hizi za kibiashara, tafuta mtu atengeneze, aendeshe mgawane faida. Unachukua pesa ya korosho kwenda kununua chuma China!
CCM huo ubunifu hawana mkuu
 
Ni kweli mkuu, hali ya mambo sio nzuri na wakati huo hakuna mkakati Madhubuti unaoonekana kuhakikisha kunakuwa na smooth implementation lakini pia usimamizi mzuri wa mradi......kila mtu saizi anafikiria kuiba tu
Nchi imekuwa ya hovyo haina mtu wa kusimamia kabisa
 
Kabisa, wapumbavu wengi huwa wanakuwa active sana nyakati hizi kuchota hizo pesa ambazo zilikuwa allocated kwa issue Fulani ila sababu ya ujanjaujanja zinatengenezewa mazingira ya kuibiwa wakati huu....very sad.
Kama hakuna msimamizi wa maana hata wewe lazima ungeiba mkuu
 
Nataja facts na wewe utaje facts za Magufuli kufirisi nchi.
Magufuli aliiendeleza hii nchi kwa yafuatayo;
1)Aliweka nidhamu katika utumishi wa umma,hii ilisaidia well provision of social services na unyanyasaji ukapungua.
2)Aliongeza wimbi la wasomi/percentage of literacy rate kwa kuweka elimu bure mpaka kidato cha nne na ada nafuu kidato cha 5 na 6.
3)Alifufua baadhi ya vitu ambavyo kama vingesimamiwa vyema ni vya kuongeza pato la taifa,mathalan ufufuaji wa njia ya reli ielekayo Arusha/Moshi na ufufuaji wa kusafirisha mizigo kuelekea Uganda kwa njia ya reli kupitia Lake Victoria.
Hii iliongeza fursa za ajira na kipato TRC.
3)Utekelezaji wa miundombinu muhimu ambayo ipo iliyoboreshwa na ipo iliyoanzishwa mipya ambayo imeongeza ufanisi wa uzalishaji katika sekta husika,mathalan ubadilishaji wa reli ya zamani ya TRC kuwa continous welded,kuliongeza ufanisi wa treni kutembea katika reli kwa mwendo kasi,ujengaji madaraja yaliyosaidia usafiri kuwa rahisi mathalan Tanzanite bridge,Nyerere bridge na Kigogo-Busisi bridge,kijazi interchange na flyover nyingine ikiwemo ya uhasibu,kumefanya raia tuokoke sana na foleni na kuwahi sehemu za uzalishaji.
4)Ufufuaji wa vitu ama mashirika ya serikali,japo nguvu haikutosha ila hatua ilikua nzuri mathalan ATCL na TTCL,la TTCL lilifanikiwa zaidi japo baada ya yeye kufariki TTCL ikazorota tena.
5)Uanzishaji wa miradi yenye tija kama ingesimamiwa vizuri katika uzalishaji na urahisishaji baadhi ya huduma za kijamii mathalan unazishwaji wa mwendokasi na JNHPP power utakaozalisha umeme kwa wingi.
6)Ideology ya Tanzania kujitahidi kujitegemea wenyewe na kupunguza utegemezi wa mataifa ya kibepari.
7)Uimarishaji wizara ya madini kwa kuleta gold refinery na kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo kiuzalishaji.
Hili lime boost uuzaji wa dhahabu safi yenye kiwango kutoka Tanzania ambayo ni 99.99% na matunda yake mpaka sasa yanaonekana.

Hatua zote hizi ziliifanya Tanzania itoke katika nchi zenye umasikini komavu(poorest country with intensive poverty)na kuwa katika nchi zenye umasikini wa kawaida(Low middle income country).

Ila cha ajabu kuingia 2022 Tanzania imerudi katika nchi yenye umasikini komavu na kuwa miongoni mwa mataifa 35 masikini duniani.

Aya lete wewe facts za kusema MAGUFULI KAIFILISI NCHI.
Ukileta hizo nitakuletea hatua alizozifanya Samia ambazo zikaifelisha Tanzania.
Mkuu akikujibu naomba unitag pi nisome.

🙏🏽
 
Nahisi miaka ijayo kizazi kinachokua hakuna atakayethubutu kumchagua mgombea mwenza kuwa mwanamke.
Na pia nahisi huko mbeleni kama hiki kizazi hakitarekebisha sera basi kitaivunjilia mbali hii CCM.
Ila Magufuli TUNAKUKUMBUKA SANA TENA SANA kwa mengi.
I concur with you
 
Back
Top Bottom