Mchina atajenga kwa kutoa msaada au inakuwaje?Makutupora tabora tangu mwaka Jana,mturuki anaachia anaingia mchina,nilidhani habari mpya kumbe chakavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina atajenga kwa kutoa msaada au inakuwaje?Makutupora tabora tangu mwaka Jana,mturuki anaachia anaingia mchina,nilidhani habari mpya kumbe chakavu
Naona hujaelewa maana ya "rasilimali sio mali", Rasimali ni potential tu, kama maji ya mto, usipojenga bwana na kuweka mitambo huo umeme utausikia tu kwa majirani zako.Kama rasalimali siyo mali, basi nchi kama Botswana isingeendelea! Una mawazo mafinyu sana, na unashindwa kuangalia dunia inakwendaje iwapo refernce yako yote ni kwenye ujenzi wa Tazara.
Absolutely mkuu, hayo yote lazima wakandarasi wata claim in near futureMwenye miradi yake kafa nayo ndio trend yetu waafrika, hata kwenye biashara za wabantu mitaani ni ivyo ivyo kwa kiasi kikubwa mwanzilishi akifa anaowaachia mali sio muda mrefu wanapoteza kila kitu.
Hapo bado fines za kuchelewesha mradi na malipo ya wakandarasi jumlisha inflation. Kama JNHPP waliikuta imebakiza miezi michache iishe wakaunga kwa miaka mitatu nakusingizia waliikuta bado sana, ni kwa miujiza tu watamaliza hiyo reli.
Kumbuka ‘bi-tozo’ kakopa ndani ya miaka mitatu kushinda maraisi wote walivyokopa katika muda wao hata wale wa miaka 10 kawapita kwa ukopaji wake kwa kipindi kifupi.
Hakuna namna gęsi itagaiwa sawa na bure soon ‘economic hit men’ washafanya yao. Kuchekea mafisadi hakujawahi endeleza nchi yeyote duniani.
CCM NI JANGA LA KITAIFASafari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.
Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01 pekee na kuongeza wasiwasi juu ya ukamilishwaji wake kwa wakati. Kuchelewa kwa mradi huo pamoja na vipande vingine vinavyohusiana na SGR, kumechangiwa na changamoto za kifedha ambazo serikali inakabiliana nazo katika kumlipa mkandarasi CCECC kutoka Jamhuri ya Watu wa China ili kukamilisha kazi hiyo.
Hayo yanathibitishwa na baadhi ya wafanyakazi katika kambi mbalimbali za miradi wanaolalamikia kuachishwa kazi kwa vile walivyoambiwa na mkandarasi serikali haina fedha za kuwalipa.
Kipande cha Makutopora-Tabora pia katika mgogoro
Wengine waliokumbwa na hali hiyo ni wale wanaofanya kazi katika sehemu ya Makutopora hadi Tabora yenye urefu wa kilomita 368.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao, walifahamishwa kuwa hakutakuwa na kazi katika eneo hilo hadi watakapopigiwa simu, na tangu Septemba mwaka jana, zaidi ya watu 1,000 wameachishwa kazi.
Katika sehemu hii ya SGR, inayotekelezwa na mwanakandarasi Yapi Merkezi, mfanyikazi huyo anadai sababu ya kufukuzwa kwao ni serikali kukosa pesa za kumlipa mwanakandarasi.
Notisi kutoka kwa Yapi Merkezi iliyotolewa mnamo Mei 23, 2024, ilielekeza wafanyikazi wote kama ifuatavyo:
“Kuanzia Mei 23, 2024 hakuna kazi hadi utakapopewa taarifa na idara ya rasilimali watu na wakuu wa idara husika kurejea kazini tafadhali hakikisha simu yako inapatikana muda wote.
Source: The Citizen Tanzania
Pia soma zaidi: Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises
My Take:
Hii serikali lazima ijitathimini maana kuna wizi mkubwa sana wa pesa za umma katika kila sector, kiasi cha kupelekea mambo mengi sana kukwama kila mahala. Hali hii sio nzuri kwa ustawi wa maendeleo ya nchi. Pia Serikali inakopa pesa kwa mgomgo wa kuendeleza SGR lakini pesa hizo hazipelekwi sehemu tarajiwa na kuishiwa kuliwa na wahuni wengi waliopo kwenye serikali ya CCM.
Hii hali ikiendelea miradi yote ya kimkakati itaishia njiani na kuwa white elephant.
Mkopo,Mungu wenu magu si aliachana na exim bank china alioingia nao mkataba jk,akaenda kwa waturuki na 10%,yameshindikana,tunarudi eximMchina atajenga kwa kutoa msaada au inakuwaje?
hata hazina huko kuna malipo mengi tu yamekwamba ninavyosikia. wenye wake zenu wafanyakazi wa umma tuambieni kama ni kweli.Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.
Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01 pekee na kuongeza wasiwasi juu ya ukamilishwaji wake kwa wakati. Kuchelewa kwa mradi huo pamoja na vipande vingine vinavyohusiana na SGR, kumechangiwa na changamoto za kifedha ambazo serikali inakabiliana nazo katika kumlipa mkandarasi CCECC kutoka Jamhuri ya Watu wa China ili kukamilisha kazi hiyo.
Hayo yanathibitishwa na baadhi ya wafanyakazi katika kambi mbalimbali za miradi wanaolalamikia kuachishwa kazi kwa vile walivyoambiwa na mkandarasi serikali haina fedha za kuwalipa.
Kipande cha Makutopora-Tabora pia katika mgogoro
Wengine waliokumbwa na hali hiyo ni wale wanaofanya kazi katika sehemu ya Makutopora hadi Tabora yenye urefu wa kilomita 368.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao, walifahamishwa kuwa hakutakuwa na kazi katika eneo hilo hadi watakapopigiwa simu, na tangu Septemba mwaka jana, zaidi ya watu 1,000 wameachishwa kazi.
Katika sehemu hii ya SGR, inayotekelezwa na mwanakandarasi Yapi Merkezi, mfanyikazi huyo anadai sababu ya kufukuzwa kwao ni serikali kukosa pesa za kumlipa mwanakandarasi.
Notisi kutoka kwa Yapi Merkezi iliyotolewa mnamo Mei 23, 2024, ilielekeza wafanyikazi wote kama ifuatavyo:
“Kuanzia Mei 23, 2024 hakuna kazi hadi utakapopewa taarifa na idara ya rasilimali watu na wakuu wa idara husika kurejea kazini tafadhali hakikisha simu yako inapatikana muda wote.
Source: The Citizen Tanzania
Pia soma zaidi: Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises
My Take:
Hii serikali lazima ijitathimini maana kuna wizi mkubwa sana wa pesa za umma katika kila sector, kiasi cha kupelekea mambo mengi sana kukwama kila mahala. Hali hii sio nzuri kwa ustawi wa maendeleo ya nchi. Pia Serikali inakopa pesa kwa mgomgo wa kuendeleza SGR lakini pesa hizo hazipelekwi sehemu tarajiwa na kuishiwa kuliwa na wahuni wengi waliopo kwenye serikali ya CCM.
Hii hali ikiendelea miradi yote ya kimkakati itaishia njiani na kuwa white elephant.
Ni kweli kabisa mkuu......hakuna commitment ya kutosha halafu fedha zinakuwa zinabadilishiwa matumizi sababu za kisiasa na kuacha miradi ya kimkakati.Hii miradi yote inatekelezeka iwapo tu wizi na rushwa vingedhibitiwa
Kwa hio hao Watoto mnaozaa mnategemea wataendesha vipi Uchumi kama nmajiangalia ninyi pekee?Pesa zipo, miaka hii miwili ina vipaumbele vyake. Kumbuka sisi hatufanyi kwa ajiri ya wajao, tunafanya kila kitu kwa manufaa yetu.
Wanazidi kuharibu future prospect ya nchi hii.CCM NI JANGA LA KITAIFA
Jk aliishi angani zaidi kuliko Tanzania nchi ikafilisika.Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.
Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01 pekee na kuongeza wasiwasi juu ya ukamilishwaji wake kwa wakati. Kuchelewa kwa mradi huo pamoja na vipande vingine vinavyohusiana na SGR, kumechangiwa na changamoto za kifedha ambazo serikali inakabiliana nazo katika kumlipa mkandarasi CCECC kutoka Jamhuri ya Watu wa China ili kukamilisha kazi hiyo.
Hayo yanathibitishwa na baadhi ya wafanyakazi katika kambi mbalimbali za miradi wanaolalamikia kuachishwa kazi kwa vile walivyoambiwa na mkandarasi serikali haina fedha za kuwalipa.
Kipande cha Makutopora-Tabora pia katika mgogoro
Wengine waliokumbwa na hali hiyo ni wale wanaofanya kazi katika sehemu ya Makutopora hadi Tabora yenye urefu wa kilomita 368.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao, walifahamishwa kuwa hakutakuwa na kazi katika eneo hilo hadi watakapopigiwa simu, na tangu Septemba mwaka jana, zaidi ya watu 1,000 wameachishwa kazi.
Katika sehemu hii ya SGR, inayotekelezwa na mwanakandarasi Yapi Merkezi, mfanyikazi huyo anadai sababu ya kufukuzwa kwao ni serikali kukosa pesa za kumlipa mwanakandarasi.
Notisi kutoka kwa Yapi Merkezi iliyotolewa mnamo Mei 23, 2024, ilielekeza wafanyikazi wote kama ifuatavyo:
“Kuanzia Mei 23, 2024 hakuna kazi hadi utakapopewa taarifa na idara ya rasilimali watu na wakuu wa idara husika kurejea kazini tafadhali hakikisha simu yako inapatikana muda wote.
Source: The Citizen Tanzania
Pia soma zaidi: Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises
My Take:
Hii serikali lazima ijitathimini maana kuna wizi mkubwa sana wa pesa za umma katika kila sector, kiasi cha kupelekea mambo mengi sana kukwama kila mahala. Hali hii sio nzuri kwa ustawi wa maendeleo ya nchi. Pia Serikali inakopa pesa kwa mgomgo wa kuendeleza SGR lakini pesa hizo hazipelekwi sehemu tarajiwa na kuishiwa kuliwa na wahuni wengi waliopo kwenye serikali ya CCM.
Hii hali ikiendelea miradi yote ya kimkakati itaishia njiani na kuwa white elephant.
Usilete taarifa za kijiweni lete facts !Mkopo,Mungu wenu magu si aliachana na exim bank china alioingia nao mkataba jk,akaenda kwa waturuki na 10%,yameshindikana,tunarudi exim
Mkuu weka bayana ushahidi wa ubadhirifu, wizi na upondwaji wa hela hizo za mkopo. Tuhuma zako bila udhibitisho ni upotoshaji ulio kubuhu!!!Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.