Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

Swali zuri sana! BWANA apewe sifa!
 
Alifufuka kwa staili gani ?
.kaburi kufungika kama mlango wa kielectronics.
.miudongo iliruka ruka huko yenyewe mara mtu paap!
.Walichimba kaburi.
. Alichomoka kama mshare shaa.
Swali la pembeni
Kwa nini wafu wa jirani hawakufufuliwa ispokuwa yeye tu ?
Je aliwahi rudi nyumbani kwake ?
Hadithi hadithi !
Hadithi njoo uongo usije.
 
Unachokizungumza ni uongo, yesu hajawahi kuwa mwanadamu, ni andiko lilitokana na damu ya kichungaji(priest), mchungaji anadai alishukiwa na malaika kutoka mbinguni akamuona yesu ndotoni, mwana pekee wa Mungu atakayeshushwa kuukomboa ulimwengu, kutoka Kwa mtawala mrumi, chuki ilienezwa Kila mahala juu ya uovu wa mrumi (higher class) by lower class na yesu pekee mwenye huruma ndie atakuja kuukomboa ulimwengu, Sina uhakika kama alikuja, lakini dini ya chuki na masimango, I mean Christianity ndio ilizaliwa rasmi,...

Baada ya huyu beast kuzaliwa chuki aliyojijengea ilimtosheleza kulipa kisasi, waliobaki bila nguvu(watumwa) walichagua kuwa wanyenyekevu na watakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…