Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unsing'ang'anie kwenye ulimwengu wa miungu huo ni ushirikina 🐒Wewe ni shetani kweli kweli; kwenye hili sitanii hata kidogo, na najua wewe mwenyewe unajitambua hivyo.
If you can make an effort to write clearly so I can understand your sentences, then I have no problem responding to them even when I know they are the work of the devil himself.I advised you to relax before,
avoid rushing if you want to understand things gentleman🐒
Hakuna anaye kung'ang'aniza, tabia yako na vitendo vyako ndivyo vinavyo kuhukumu.unsing'ang'anie kwenye ulimwengu wa miungu huo ni ushirikina 🐒
amini na kumshukuru Mungu ambae ndie baba yetu mwema katika kila jambo 🐒
Mawazo yako na vitendo vyako siyo vya ki-Mungu. Kila unacho kisimamia unapokuja humu JF ni vitendo na fikra za kishetani, ambavyo havina neema kwa waTanzania.amini na kumshukuru Mungu ambae ndie baba yetu mwema katika kila jambo
CCM kilikuwa ni chama wakati huo siyo hii takataka iliyojaza uovu.anayo muda mrefu tu,
ni kama Dr slaa tu alivyo nayo 🐒
Hata kama umenichagulia wapi niwepo ila viongozi wenu wamekosa aibu, na bado manaendelea kuwaaminiHebu ngoja. Wewe usiye kuwa kwenye upinzani, lakini unajulikana kuwa sehemu ya hao hao wanaofanya maovu, hata kama hii ni timu tofauti; unayo nafuu gani hasa!
"Viongozi wenu"? Kwa hiyo na mimi unanichagulia chama?Hata kama umenichagulia wapi niwepo ila viongozi wenu wamekosa aibu, na bado manaendelea kuwaamini
😄"Viongozi wenu"? Kwa hiyo na mimi unanichagulia chama?
Wewe toka enzi za Magufuli unajulikana ulipo, kwa hiyo nimejibu nikijuwa unaposimamia.
"Viongozi wenu"? Kwa hiyo na mimi unanichagulia chama?
Wewe toka enzi za Magufuli unajulikana ulipo, kwa hiyo nimejibu nikijuwa unaposimamia.
Mkuu 'misasa', sasa hii hapa unaniwekea mimi inanisaidia kitu gani hii!
Nani amnunulie????