Kama kawaida, leo pia umeamka na kuaga mke na watoto kwamba unakwenda kazini; kumbe kazi yenyewe ndiyo hii ya kichizi! Kutwa nzima unajaza takataka tu kwenye jukwaa la JF.Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?