Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mtamhonga au mtampa kwa grounds zipi?IST 10 right?
but CCM itampatia gari sio pesa 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamhonga au mtampa kwa grounds zipi?IST 10 right?
but CCM itampatia gari sio pesa 🐒
Relax wakati unapupu hadharani??🤣🤣relax 🐒
Huna mashamba kwenu,umejikomboa kiuchumi kupitia rasilimali ardhi?CCM wana hila.
Ilaaniwe CCM iliyoshindwa kutumia rasilimali lukuki za Tanzania kuondoa ufukara kwa wananchi
CCM wamejipanga kumnunulia gari jipya kubwa la kisasa pekee, mengine atafanya mwenyewe kadiri atakavyoona inafaa 🐒Ni jambo jema sana.
Ikiwezekana jumla ya fedha ikanunua helkopta au gari maalumu lenye uwezo wa kuzuia chochote kupita.
AaahhaaaCCM ina huruma sana
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.
Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
huo ni uhuru na haki yake kadiri atakavyoona inafaa 🐒..mkimnunulia gari atabadili MSIMAMO?
..suluhisho ni kupatia majibu HOJA za Tundu Lissu.
Exactly..Everything has a price, just make sure u bargain at the right timing.
Kama wana huruma zaidi si wampe Mwanasheria Mkuu wa Serikali awapelekee moto wa volcano.CCM ina huruma sana
ahii ni kupindua meza ya aibu ya juzi ya Awadh MbeyaCCM wamejipanga kumnunulia gari jipya kubwa la kisasa pekee, mengine atafanya mwenyewe kadiri atakavyoona inafaa 🐒
Eehh Mwenyezi Mungu, mbariki Mama Samia, huu moyo ni wa kipekee, lissu na yeye apate usafiri.Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.
Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Ndo mapinduzi pekee mliyobaki kufanya.anapewa usafiri huo kwa matumizi yake binafsi na atakavyoona yeye...
na atapewa kulingana na hali yake ilivyo sasa,
na atapewa gari hilo jipya kubwa la kisasa bila masharti yoyote🐒