Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ccm ni chama cha mashetani weusi.hiyo ndiyo CCM katika kujali utu wa mwanadamu na mahitaji yake 🐒CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ni chama cha mashetani weusi.hiyo ndiyo CCM katika kujali utu wa mwanadamu na mahitaji yake 🐒CCM
hayo ni maoni na mtazamo wako ambao ni uhuru na haki yako kikatiba 🐒kwa hiyo kwa huruma ya ccm gari la milion mia 6 ndani yake mnamwekea na VX gas ili mmalizane naye kabisa cyo
Ccm haijawahi kujali utu na mahitaji ya mwananchi yoyote nchini ambaye hayupo kwenye daraja la watawala.maoni na mtazamo wako ni uhuru na haki yako kikatiba..
CCM itaendelea kujali utu na mahitaji muhimu binafsi na ya Jumla ya wananchi wake bila kujali mbambamba ya mtu yeyote 🐒
CCM haijawahi kuwa na pesa zake, CCM huchota pesa za serikali kwa matumizi yake ujiwemo ukarabati wa viwanja ilivyotupora wananchi.Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.
Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
hadharani,viongozi wenu hawajibu?huu ni uhuni.alishalipwa fedha zake zote ikiwa ni pamoja na za matibabu, posho za vikao, marupurupu na malimbikizo yake yote,
cha kushangaza tu ni kwamba, baada ya kulipwa mamilioni yake akayafuja akasahau kumbe hana gari huku pesa zikiwa zimemuishia kabisa...
ndipo akaja kuanzisha huu mradi wa kuchangiwa pesa ya kununulia gari 🐒
YOTE SAWA .LAKINI CCM ISIJE MCHUKUA KUGOMBEA URAIS.TAFADHALI SANA AISEELicha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.
Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Nilifikiri LUCAS 😄 🤣 😂yaani nabubujikwa na machozi ya furaha nagaragara chini nani kama mama
Yeah, Kuyatimba ya moto moto - ha ha haYou mean kujikomba sana baada ya kuyatianga