Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
atanunuliwa na watanzania cyo majizi ccm
actually ni kweli,
ni pesa za kiTanzania zitamfanya anunuliwe gari jipya, kubwa la kisasa kupitia CCM 🐒
This is how Lissu's aquarius star looks like . Let it be to our next president Tundu Lissu.
relax and don't panic,
he will not be in ballot papers come 2025 general elections 🐒
 
Hakuna mjinga wa kukubali pesa yenu au gari yenu ccm hamuaminiki
labda angekuwa mwingine kwa lissu apokee tu mama hana baya we ngoja wakati wakampen ndio ccm watajua wanajua hawajui, ningekuwa lissu na kadi ya chama ningechukua kabisa afu ningegombea hukohuko chaman hy nch yetu sote *****
 
Baada ya kushindwa kumwua kinguvu mnaona muda mzuri ni kumpa faraja ya gari ili mmalize kiaina.
project ya CCM iliyopo ni huyu kiongozi muungwana kupata usafiri wa kisasa ambao itamsaidia kwenye shughuli na kazi zake binafsi na za kifamilia, na si vinginevyo 🐒
 
labda angekuwa mwingine kwa lissu apokee tu mama hana baya we ngoja wakati wakampen ndio ccm watajua wanajua hawajui, ningekuwa lissu na kadi ya chama ningechukua kabisa afu ningegombea hukohuko chaman hy nch yetu sote *****
ni mTanzania mwenzetu, rafiki na ndugu wa wengi sana CCM, hakuna ubaya kibinafsi na kwakweli hakuna lenye shaka juu ya mahusiano baina ya Lisu na wana CCM . Gari atapatiwa bila masharti yoyote ya matumizi na yuko huru kufanya siasa zake kadiri anavyoona inafaa 🐒
 
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.

Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?

Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?

Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Inadaiwa... 🙂 🙂 🙂
 
Hivi ni kweli CHADEMA wameshindwa kumnunulia Lisu gari mpya?
walishindwa mapema sana gentleman 🐒

mpka akaamua yeye binafsi kupiga magoti na kuomba achangiwe pesa ya kununulia gari,

hata hivyo,
mpka sasa pesa iliyochangwa labda labda anaweza kununulia IST tu 🐒
 
Hela anazodai hamjamlipa ila mnataka kumnunulia gari😂😂
alishalipwa fedha zake zote ikiwa ni pamoja na za matibabu, posho za vikao, marupurupu na malimbikizo yake yote,

cha kushangaza tu ni kwamba, baada ya kulipwa mamilioni yake akayafuja akasahau kumbe hana gari huku pesa zikiwa zimemuishia kabisa...

ndipo akaja kuanzisha huu mradi wa kuchangiwa pesa ya kununulia gari 🐒
 
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.

Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?

Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?

Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Back
Top Bottom