Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Sema huyu mwamba nahisi hata akiwa anashusha wazungu huwa anabubujikwa na machozi.

Hanaga kielezi kingine zaidi ya kubujikwa na machozi. Ndio kilele cha furaha kwake.
 
Jitu liongo halijui kusifia hakina fact,
Kila uzi utasikia Jemedari,Kusinimwa jangwa la Sahara,Chaguo la Mungu,Kipenz cha watanzania,iliyotukuka.

Ukikosa hayo maneno kwa uzi wa Lucas niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…