20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Umeanza 🤣🤣Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa
kiasili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza 🤣🤣Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa
kiasili.
Aliona mbaliNdio maana ephen_ haachi kujikombakomba kwa Lucas Mwashambwa
Soon Luca atakuleta mjini trust the process😂Mbona taarifa sina! Lucas Mwashambwa umepata cheo umeniacha napigwa na jua huku Lindi
Nipo tayari hata sasa hivi☺️Soon Luca atakuleta mjini trust the process😂
Tafadhali niachie ephen na wala usimguse.Ndio maana ephen_ haachi kujikombakomba kwa Lucas Mwashambwa
Mtoa mada ni muongo tu. Siwezi nikakuacha ephen wanguu.kwanza wewe ndiye ungekuwa mtu wa kwanza kufahamu na kuwapa wengine taarifa.Mbona taarifa sina! Lucas Mwashambwa umepata cheo umeniacha napigwa na jua huku Lindi
Mimi sina cheo chochote kile ndani ya CCM
Tangu umekuwa mshiriki mkuu wa waongo, hata huu utetezi wako ni wa uongo.Mimi sina cheo chochote kile ndani ya CCM
Sasa unakwama wapi Lucas akee! Mimi nataka kuitwa mke wa mheshimiwa😣Mtoa mada ni muongo tu. Siwezi nikakuacha ephen wanguu.kwanza wewe ndiye ungekuwa mtu wa kwanza kufahamu na kuwapa wengine taarifa.
Ni lazima utaitwa tu ephen wanguu,wala usijali. Wakina Bejamini Netanyau watabakia wakibubujikwa na machozi Utafikiri 🐟Sasa unakwama wapi Lucas akee! Mimi nataka kuitwa mke wa mheshimiwa😣
Jitahidi ujue ngeli kidogo, jua kuendesha magari makali 0km & ujue kusalimiana na wakubwa hasa top fourNafanya mazoezi ya kua mtu wa heshima