Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Ndiko ilipo HQ yao na boss ndiko aliko.Kwanini M23 imewapeleka Kigali na sio Dar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiko ilipo HQ yao na boss ndiko aliko.Kwanini M23 imewapeleka Kigali na sio Dar?
Wanaoingia jeshini inabidi wapende jukumu hilo.Wenye passion,baada ya jkt wanakosa ajira jwtz wanapelekwa SUMA jkt huko ,au wanarudi kwenye makampuni ya ulinzi...wenye connection,wabovu wanaenda JWTZ.
Kuna dogo yupo JWTZ alikuja nitembelea, akaniambia bro Yeye zaidi ya medical position aliopo,hataki jua chochote huko mshahara wake uingie tu
Hawaja wa daka na wala hawaja wapeleka Rwanda mkuu, habari zingine ni upotoshwaji tu. Habari iliyokuwa ina trend ni kwamba wana jeshi wa SOUTH AFRICA ndio wali salenda dhidi ya M23. Ila sio JWTZ pia habari nyingne ni kwamba kuna kikosi cha wana jeshi kutoka Ufaransa na pia Romania kilikuwepo hapo Goma kuwasaidia wana Jeshi wa Jeshi la Congo. Hao pia wali amuriwa kuondoka haraka hapo na walifanya hivyo.Kwa hio wamewadaka kweli wakawapeleka Rwanda? Dharau gani hizo lakini?
Nimesha kusoma , nilikurupuka. Upo sahihi na dhani kwa weledi na utaalamu mimi naliamini jeshi langu la JWTZ yaani naamini kabisa Rwanda kana akiyakanyaga ana futwa vizuri tu.Mhh! Hukunielewa. Hebu tulia urudie kusoma tena. Nimeangalia weledi na uzoefu wa JW dhidi ya majeshi ya PK a.k.a. Rwanda.
Huyu ni mchokozi anachokitafuta atakipataMtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Exactly Yes.Nimesha kusoma , nilikurupuka. Upo sahihi na dhani kwa weledi na utaalamu mimi naliamini jeshi langu la JWTZ yaani naamini kabisa Rwanda kana akiyakanyaga ana futwa vizuri tu.
Mpaka siku aliwe TIGO ndipo ataacha uchokozi.Huyu ni mchokozi anachokitafuta atakipata
Propaganda hiziInaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Unaandika huku umejificha Jamii forum. Akili ulizonazo ndizo zilizomponza marehemu GadhafiKwenye vita, vifo sio kitu cha ajabu ni kawaida sana.
Kwa nini wasingeweza? Hata hivyo vita sio mashindano kama Simba vs Yanga. Motive behind ndo silaha kubwa.
Hiyo ni kawaida sana kwenye vita yoyote ile - usishangae.
Wanajeshi wa Tz waliopo huko ni kwa ajili ya kulinda Amani na sio kwa ajili ya kupambana.
Vita sio kitu kirahisi kama inavyotamkwa - naelewa hilo. Lakini ikiwepo sababu madhubuti ya kupigana vita e.g. ile ya Kagera, Ushindi unapatikana japokuwa sio kirahisi. Hata ile ya Kagera haikuwa rahisi kivile.
Sioni kama kuna sababu yenye maslahi kwa Tz ya kuingia vitani dhidi ya M23 ndani ya Congo DRC. Mambo ya siasa waachie wanasiasa wanajua zaidi.
Si ndiye Amiri jeshi mkuu wa hilo kundi?Mbona kama hujasomeka. Yan wametekwa na m23, halaf Kagame anatoa tamko!?
Sijasema kitendo cha JWTZ kupiga raia ovyo au kufunga barabara ndo kigezo cha Jeshi Imara. Hapana.Unaandika huku umejificha Jamii forum. Akili ulizonazo ndizo zilizomponza marehemu Gadhafi
Pale Congo kuna mali na kuna mikono ya watu. Sasa wewe nenda kwa kutumia akili ya vita vya 1978. Mtarudi kwenye majeneza mpk mshangae.
Unavyoona JWTZ wakipiga raia ovyo na kufunga barabara, kuingia mtaani kusaka watu wanaovaa nguo zinazofanana na sare za jeshi ndiyo unaona ndiyo jeshi imara?😀😀😀😀
Wenye jeshi lenye akili na nguvu huwezi kuona wanafunga mtaa kupiga raia au kusaka sare za nguo zinazofanana na jeshi mtaani
mnaropokwa tu wakati mnakula mnashiba mnajamba ma ushuzi usiku kucha huku wanaume wenzenu walio shika silaha wanakesha kulinda makalio yenu afu mna waita wavunja matofali na mna wakejeli na mko ndani ya hiii ardhi yenye amani usiku na mchana watu kama nyie ni wakukamatwa na kuchinjwa hadharani shiiitJeshi la kupasua mawe kwa vichwa na kukalia misumari 😁😁😁
Kwamba atapigwa kutokea Tanzania, Burundi na DRC na washirika wote wa SADC. Kasoro Ardhi ya Uganda pekee ndio haitatumika kumpigaSource: VOA Radio.
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.
MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.
Mbona ilishaingia kipindi cha JK na kuwafurusha.Sijasema kitendo cha JWTZ kupiga raia ovyo au kufunga barabara ndo kigezo cha Jeshi Imara. Hapana.
Nimesema sioni kama kuna sababu yenye maslahi kwa Tz kuingia vitani dhidi ya M23 ndani ya Congo DRC au