Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Imekuwaje kuwaje mpaka wakatekwa na kuluna, wakati wao wanapata mafunzo yote, silaa wanazo, na wanalipwa vizuri mishahara na posho?​
... hamna kazi mbovu kama kulinda amani, ... masharti yake yanawanyima kabisa uhuru wa kupigana wanajeshi wetu na muda mwingi wanafanywa 'human shields' na majeshi hasimu!
 
Kkkmae,hivi kwanini wasivamie Rwanda kumtia adabu huyo anaekosesha amani watu wa Congo?!kwamba kagamee kashindikana na nchi zote au pia hao m23 wameshindikana kabisa?naona kama wanamchekea huyo gaidi kagame,na kwann hao M23 hawaitwi kundi la kigaidi na kagame kubwa la magaid? Najuta kwann nilikimbia jeshi walah
... jeshi ni team work, nidhamu na kutii amri kutoka juu bila shuruti! ... kazi ya kutunza amani ni sawa na kuwa refa wa ngumi, haupigani lakini ukizubaa unadundwa na mahasimu!
 
Hv h
Unaonekana una akili za zamani sana. Wewe ni mzee kiufupi
Unajua kipindi cha vita ya idd Amin, walikufa wanajeshi wangapi wa Tanzania? Kipindi kile ilikuwa bahati tu maana Idd Amin hakuwa kiongozi mwema hata wananchi wake walitaka aondeke (walimchoka). Unafikiri Idd Amin angekuwa kiongozi mzuri unafikiri JWTZ wangeweza kushinda vita?
Hapo Congo unajua wanajeshi wangapi wa Tanzania wamekufa mpaka sasa? Mwaka juzi kama sikosei kuna wanajeshi wa Tanzania waliletwa kwenye majeneza.
Kwahiyo kwa vita ile Nyerere aliwaaminisha kuwa vita ni rahisi? Kule Congo tayari kuna wanajeshi wa Tanzania, wamefanya nn mpaka sasa?
Hapo kwa akili yako ndogo unafikiri hata tukipigana vita na kagame tutashinda kirahisi.
Mtu amekuwa raisi miaka 23 madarakani utafikiri Tanganyika hakuna watu wenye akili zaidi yake Endelea kuamini story za wanasocialist
Weka akilini hili*Nchi ya congo ina mali sana kuliko nchi yoyote Afrika, kwahiyo usije ukaona ni rahisi (ni pazito)* Kamuulize Gadhafi, kwanini waasi walikuwa na nguvu kuliko jeshi lake*
Tumia akili zako za kupasua matofali kwenye kichwa ndiyo utajua
Hv huwa mnafuatulia hz habari ambazo watu wote tunafuatilia ama mna habari zenu binafsi mnazofuatiliaga. Yaani saa zingine mpaka naona aibu jinsi tulivyo na ujinga mwingi
 

Attachments

  • IMG-20250129-WA0002.jpg
    IMG-20250129-WA0002.jpg
    116.9 KB · Views: 1
Goma kwa sasa ni kama kisiwa. M23 wamezunguka pande zote. Njia pekee ya jeshi kutoroka/kuretreat ni kwenda Rwanda. So majeshi yakienda Rwanda haimaanishi yametekwa na kupelekwa kwa PK. Ni kwamba yanaenda huko kujiokoa.

Hata hivyo wanaopigana Goma mpaka sasa ni wanaume hasa. Waasi wamewazunguka pande zote lakini bado wamo.
 
Kakwambia nani?

Unajua mission ngapi Jwtz inashiriki?

Wabongo mbona mnalodharau sana jeshi lenu?

Au kwa vile mnaona mnazunguka nchini mwenu bila bughudha basi mnaongea vyovyote mnavyojisikia?
Hawawezi kitu mkuu, labda kufanya usafi tu na kuzuia chadema wasiandamane. Basi
 
Mambo yanayo tokea katika uwanja wa Vita ni tofauti kubwa na unayo sikia katika vyombo vya habari.
Ni Ngumu kuamini mamia ya askari wamekufa alafu taarifa zinafichwa wakati miili itarudi makwao kwaajili ya Mazishi.
 
Unaonekana una akili za zamani sana. Wewe ni mzee kiufupi
Unajua kipindi cha vita ya idd Amin, walikufa wanajeshi wangapi wa Tanzania?
Kwenye vita, vifo sio kitu cha ajabu ni kawaida sana.
Kipindi kile ilikuwa bahati tu maana Idd Amin hakuwa kiongozi mwema hata wananchi wake walitaka aondeke (walimchoka). Unafikiri Idd Amin angekuwa kiongozi mzuri unafikiri JWTZ wangeweza kushinda vita?
Kwa nini wasingeweza? Hata hivyo vita sio mashindano kama Simba vs Yanga. Motive behind ndo silaha kubwa.
Hapo Congo unajua wanajeshi wangapi wa Tanzania wamekufa mpaka sasa?
Mwaka juzi kama sikosei kuna wanajeshi wa Tanzania waliletwa kwenye majeneza.
Hiyo ni kawaida sana kwenye vita yoyote ile - usishangae.
Kwahiyo kwa vita ile Nyerere aliwaaminisha kuwa vita ni rahisi? Kule Congo tayari kuna wanajeshi wa Tanzania, wamefanya nn mpaka sasa?
Wanajeshi wa Tz waliopo huko ni kwa ajili ya kulinda Amani na sio kwa ajili ya kupambana.
Hapo kwa akili yako ndogo unafikiri hata tukipigana vita na kagame tutashinda kirahisi.
Mtu amekuwa raisi miaka 23 madarakani utafikiri Tanganyika hakuna watu wenye akili zaidi yake Endelea kuamini story za wanasocialist
Weka akilini hili*Nchi ya congo ina mali sana kuliko nchi yoyote Afrika, kwahiyo usije ukaona ni rahisi (ni pazito)* Kamuulize Gadhafi, kwanini waasi walikuwa na nguvu kuliko jeshi lake*
Tumia akili zako za kupasua matofali kwenye kichwa ndiyo utajua
Vita sio kitu kirahisi kama inavyotamkwa - naelewa hilo. Lakini ikiwepo sababu madhubuti ya kupigana vita e.g. ile ya Kagera, Ushindi unapatikana japokuwa sio kirahisi. Hata ile ya Kagera haikuwa rahisi kivile.
Sioni kama kuna sababu yenye maslahi kwa Tz ya kuingia vitani dhidi ya M23 ndani ya Congo DRC. Mambo ya siasa waachie wanasiasa wanajua zaidi.
 
Basi imetosha sitaki kuongea tena iishe km ilivyoisha ila nimeeleweeka ingawa sijamaanisha ukivyomaanisha sijafikiri km ulivyofikiri tumetofautiana kimtazamo ulichokiona sicho nilichokiona nilichokisema sicho nilichomaanisha, tafakari
Kongole mkuu. Umeonesha ukomaavu wa akili. Ur one among the GTs hapa Jf.
 
Back
Top Bottom